Zimegomaje wakati bado China muuzaji mkubwa wa bidhaa nje ya nchi na nchi yenye uchumi mkubwa duniani baada ya Marekani.Mifano ya white paper movement, colour revolution na white hair movement ni mifano hai jinsi wachina walivyochoshwa na CCP......
Sera zote za CCP zimegoma, imebaki moja ya one China policy hii ndio itaondoka na CCP
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya majimbo yameondoa kikomo na kuruhusu uzazi.ila ule ujinga wao wa kupangiana idadi ya kuzaa ndio sijawahi kuuelewa hadi kesho. mtu hata kama una pesa za kutunza watoto ungetamani kuzaa watoto 12, wamekulimit.
wasingadhibiti sasaivi wangezidi 2 billion na wangekuwa wamesambaa dunia yote. ona sasaivi population wamezidiwa na India ambayo haina limit ya kuzaa watoto. the most populous country in the world sasaivi ni India, sio china tena. kuna siku wahindi watakuja kuwa majority kwenye kina nchi hapa duniani.Ile sera ya one child nayo ndo inawacost sasa,...
Sasahivi wanaelekea kwenye negative population growth....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ilikuwa ni sera muhimu sana kwa kipindi kile, na hawakuiweka kwamba itadumu milele na kwanza sasa hivi haipo. Hawakukosea kwenye hilo.ila ule ujinga wao wa kupangiana idadi ya kuzaa ndio sijawahi kuuelewa hadi kesho. mtu hata kama una pesa za kutunza watoto ungetamani kuzaa watoto 12, wamekulimit.
Eti dikteta xi jinping....msifananishe kiongozi rijali wa China na hao mashoga wa west....usimfananishe xi na hao malaya wa kisiasa wauza bandariDikteta Xi jinpin anawaponza sana watu wa China.
Anawapeleka shimoni kila siku mi nasemaga hapa.
Alileta sera yake ya "return forest to farmland" akihamasisha kilimo kwa kukata miti kila pahala hata mahali pasipofaa matokeo yake juzi beijin na maeneo mbalimbali yamepigwa na mafuriko yaliyotokana na tufani balaa, watu wameripotiwa Kufa cha ajabu CCP haionekani kujali chochote.
Sera za Dikteta Xi zote yaani zote zimegoma na zimekuwa zikiwagharimu watu wachina wasiokuwa na hatia.
Bado sera yake ya "One china" ambayo imelenga kuirudisha Taiwan chini ya utawala wa CCP. Hii sera ndio itaiua kabisa CCP.... yani akijichanganya tu kuivamia Taiwan na CCP ndo inakuwa imekufa. Yaan CCP na Jeshi lake la PLA watapigika kila upande ndani na nje ya China tupo hapa mtakuja kuniambia.
Kuna baadhi ya wachina ni kwa vile hawana silaha lakini ukiwapa silaha wako radhi kupambana na ÇCP na jeshi lake, jambo hili Xi Jinping bado hajalifikiria....
Sent using Jamii Forums mobile app
BRICS ni muungano wa wenye shida. Na bado ndani ya muungano kuna mahasimu wakubwaThe Boy Wonder una maoni gani mkuu? Si tulikubaliana wanaoathirika ni G7 pekee
Sasa USA si ndo makao makuu ya machoko? Inaonekana huelewi hata ulichokiandika.USA hawaendagi machoko ,kule hakuna Mitumba 😂😂
Mafukara sio Kila choko ni shogaSasa USA si ndo makao makuu ya machoko? Inaonekana huelewi hata ulichokiandika.
Watu walikuwa zaidi million 800 ulitaka waendelea kuzaliana hovyo hovyo kama Waafrika ili kuzidi kukaribisha umasikini na ujinga ?ila ule ujinga wao wa kupangiana idadi ya kuzaa ndio sijawahi kuuelewa hadi kesho. mtu hata kama una pesa za kutunza watoto ungetamani kuzaa watoto 12, wamekulimit.
Population kubwa ni hasara kuliko faidawasingadhibiti sasaivi wangezidi 2 billion na wangekuwa wamesambaa dunia yote. ona sasaivi population wamezidiwa na India ambayo haina limit ya kuzaa watoto. the most populous country in the world sasaivi ni India, sio china tena. kuna siku wahindi watakuja kuwa majority kwenye kina nchi hapa duniani.
.Hako kazee nako ni kajinga sana mbona hakaongelei nchi kanayo iongoza ambapo maelfu ya mabenki yamefirisika.
Huu ndio ukweli ila wale wafuasi wake Watapinga.
Idadi ya Watu wanaozaliwa China imepungua kuliko vifo.
Idadi ya Wazee inazidi kuongezeka
Ukuaji wa Uchumi wake Umepungua sana.
Shida ya Kisiasa za ndani zimenza,sera ya zero covid iliwaahinda Hadi watu wakaandamana dhidi ya Utawala.
Kampuni zake za nyumba zimeanza kupata shida na Baadhi mbioni kufilisika eg Garden
Gharama za Uwekezaji wa viwandani zimeanza kuongezeka.
Mwisho China imeanza Utapeli wa Mali na ukoloni mamboleoa Kwa Nchi za Kiafrika Kwa njia ya Mikopo nk.
My Take
China haiaminiki ,siku yaja Yuan yake itaporomoka sana.
Wewe jinga huwezi toa Msaada Kwa jirani Yako Kwa sababu amekuzidi Mali na wewe ni fukara?Nyie majinga ya CCM mna ongoza taifa masikini wa kutupwa duniani upo busy kuzungumzia changamoto za superpower.
Mmemaliza kujenga matundu ya vyoo nchi nzima kwa msaada wa EU ?
Dogo umevuta bangi ?Dikteta Xi jinpin anawaponza sana watu wa China.
Anawapeleka shimoni kila siku mi nasemaga hapa.
Alileta sera yake ya "return forest to farmland" akihamasisha kilimo kwa kukata miti kila pahala hata mahali pasipofaa matokeo yake juzi beijin na maeneo mbalimbali yamepigwa na mafuriko yaliyotokana na tufani balaa, watu wameripotiwa Kufa cha ajabu CCP haionekani kujali chochote.
Sera za Dikteta Xi zote yaani zote zimegoma na zimekuwa zikiwagharimu watu wachina wasiokuwa na hatia.
Bado sera yake ya "One china" ambayo imelenga kuirudisha Taiwan chini ya utawala wa CCP. Hii sera ndio itaiua kabisa CCP.... yani akijichanganya tu kuivamia Taiwan na CCP ndo inakuwa imekufa. Yaan CCP na Jeshi lake la PLA watapigika kila upande ndani na nje ya China tupo hapa mtakuja kuniambia.
Kuna baadhi ya wachina ni kwa vile hawana silaha lakini ukiwapa silaha wako radhi kupambana na ÇCP na jeshi lake, jambo hili Xi Jinping bado hajalifikiria....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mazezeta meusi mlioshindwa kuongoza Tanzania ni msaada gani mtawapa watu wenye akili nyingi hao wachina ?Wewe jinga huwezi toa Msaada Kwa jirani Yako Kwa sababu amekuzidi Mali na wewe ni fukara?
Wewe nyumbu umejaa kampasi kichwani,tuliwapa Turkiye Msaada gani?Nyie mazezeta meusi mlioshindwa kuongoza Tanzania ni msaada gani mtawapa watu wenye akili nyingi hao wachina ?
Upo Beijing sasa ?Mkuu hayo yote yalitamkwa ndio yanayoendelea China. Uhalisia ndio huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie watu wa mboga mboga ni mazezeta hizo mlishindwa kujengea vyoo mnaona mlivyokosa akili majinga nyieWewe nyumbu umejaa kampasi kichwani,tuliwapa Turkiye Msaada gani?