Jodeci, Kci&Jojo, New Edition, Silk wako wapi hawa wanamuziki?

Jodeci, Kci&Jojo, New Edition, Silk wako wapi hawa wanamuziki?

Hellow member...
Najua mpo wataalamu na wapenzi wa hizi beats za zamani kidogo, je naweza kupata wapi albamu zao za audio niweze kuwa download hata kama ni kwa kulipia kama wanavyofanya wasafi.com.

Nazipenda sana nyimbo zao, nilikuwa na albamu zao zile za tape, Normal bias, nataka nizipate zikiwa na quality.
nataka album za wakina Jodeci ambao baadae wakabaki Kci&jojo, albumu zao zote kuanzia ile ya All my life, Tell me its real nk
Nawataka sana hawa New edition ile ya boby brown
Nawapata wapi hawa Silk na ile album yao ya cruz control sijui nitaipata wapi. yaani nikisikiliza huwa wananipa utulivu wa mind sana.
Pia huyu marehemu Gerald Levert na album zake ametulia sana. Pangekuwa na duka hapa Bongo lenye kuuza hizo album copy ningekwenda kunnua aisee.

Na wakali wengine, nisaidieni namna ya kupata nyimbo zao
Kwa kusikiliza nenda kwenye youTube pia kuna programme unaweza kudownload kwa ajili ya kudownload hizi nyimbo
 
1494307387496.jpg
 
Uliwah kuwaskiliza Ruff end z? Ckuweza kuchoka kuskiliza ngoma zao wale jamaa, ni zaid ya kec n jojo
 
Mtoa mada una taste nzuri ya muziki, nikisikia new edition nakumbuka ule wimbo wao wa can you stand the rain. Wimbo una ujumbe mzurii


Can You Stand the Rain

Song by New Edition



New Edition - Can You Stand The Rain4:09 · YouTube

Lyrics

On a perfect day, I know that I can count on you
When that's not possible
Tell me can you weather the storm?

'Cause I need somebody who will stand by me
Through the good times and bad times
She will always, always be right there

Sunny days, everybody loves them
Tell me baby can you stand the rain?
Storms will come
This we know for sure (This we know for sure)
Can you stand the rain?

Love unconditional, I'm not asking just of you
And girl to make it last
I'll do whatever needs to be done

But I need somebody who will stand by me
When it's tough she won't run
She will always, be right there for me

Sunny days, everybody loves them, tell me, baby
Can you stand the rain? (Can you stand it?)
Storms will come (I know, I know all the days won't be perfect)
This we know for sure (But tell me can you stand it)
Can you stand the rain? (Can you stand the rain?)

Can you stand the rain
(Can you stand the rain?)
(No pressure, no pressure from me, baby)
This we know for sure
Can you stand the rain ('Cause I want you, and I need you, and I love you, girl)
(Tell me, baby)
Can you stand the rain
(Will you be there for me?)

Can you stand the rain
(Can you stand the rain?)
Can you stand the rain
(Will you be there, girl?)
Can you stand the rain
(Storms will come for sure)
Can you stand the rain
(Can you stand the rain?)
Can you stand the rain
(This we know for sure)
Can you stand the rain
Can you stand the rain
(This we know for sure)
Can you stand the rain
Can you stand the rain
(This we know for sure)
Can you stand the rain
Can you stand the rain

Yeah, it's gonna but I know, I know I'll be right there
(Can you stand the rain)
 
Mkuu mimi ni kati ya wapenda hz kitu sana na na nikitaka kucheza hizi kitu nikiwa Dar nasonga zangu hyatty legency kwa John Dillinga au kwa Peter Moe "East 24 Alkade".

Nina stock ya Albums za Dru hill, Jodeci, Joe, B2K, Case, TLC, Salt N' pepa, Xscape, Silk, None chalant, snoop, Dre na nyingine kibao nafurahi nikikutana na old schooler kama hivi nafurahi sana!
Mkuu hizo copy ni za aina gani CD au ni zile tape Normal Bias?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom