sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Hellow member...
Najua mpo wataalamu na wapenzi wa hizi beats za zamani kidogo, je naweza kupata wapi albamu zao za audio niweze kuwa download hata kama ni kwa kulipia kama wanavyofanya wasafi.com.
Nazipenda sana nyimbo zao, nilikuwa na albamu zao zile za tape, Normal bias, nataka nizipate zikiwa na quality.
nataka album za wakina Jodeci ambao baadae wakabaki Kci&jojo, albumu zao zote kuanzia ile ya All my life, Tell me its real nk
Nawataka sana hawa New edition ile ya boby brown
Nawapata wapi hawa Silk na ile album yao ya cruz control sijui nitaipata wapi. yaani nikisikiliza huwa wananipa utulivu wa mind sana.
Pia huyu marehemu Gerald Levert na album zake ametulia sana. Pangekuwa na duka hapa Bongo lenye kuuza hizo album copy ningekwenda kunnua aisee.
Na wakali wengine, nisaidieni namna ya kupata nyimbo zao