Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

Huyu hukumu yake ni kukatwa kichwa hadharani maana amekiri ni mzinzi wa hali ya juu. Sijui Ukristo hukumu ya zinaa ni nini? Au ni pongezi?

Kweli jamani hii ni haki? kiongozi wa Kitaifa kama huyu kukiri uzinifu huku anajisifu kama vile ni sifa nzuri.

Miafrika Ndivyo Ilivyo - NN.
 
What was the price? In any sensible mind, Jangwani move was a blow to Slaa, his girlfriend and CDM.

This is what you think.
If it was a blow, he wouldn't have been as much popular as he was as and is till now.
Sensible people know the move was necessary by then.


Is CDM of that time the same as that of today? Can't you see or at least feel the difference?
So which blow to CDM, his girlfriend and Dr. Slaa himself are talkin' about?.


Please mkuu, try to be realistic.
 
Huyu hukumu yake ni kukatwa kichwa hadharani maana amekiri ni mzinzi wa hali ya juu. Sijui Ukristo hukumu ya zinaa ni nini? Au ni pongezi?

Kweli jamani hii ni haki? kiongozi wa Kitaifa kama huyu kukiri uzinifu huku anajisifu kama vile ni sifa nzuri.

Miafrika Ndivyo Ilivyo - NN.

good take zomba, ukiamua kumbe unaweza kuono uozo! Ndugai angekusikia angekuja kuomba radhi hapa!
 
Amefata nyayo za mkulu, mkulu sio tu kwamba hawezi jua ana watoto wangap , hakumbuki hata ana wake wangapi..
 
Job ndugai my fellow wild fauna.
Wewe sambaza mbegu babii hakuna kwere,
 
Mheshimiwa inaonekana ana utiriri balaa
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

Hilo li baba ina maana limetelekeza watoto. wengine maskini hawana hata daftari wala karo za shule maana hata baba hawajui kama wapo na wako wapi? Hafai kuwa kiongozi. Mtu asiweza kutunza familia yake hawezi kuongoza watu.
 
Hilo li baba ina maana limetelekeza watoto. wengine maskini hawana hata daftari wala karo za shule maana hata baba hawajui kama wapo na wako wapi? Hafai kuwa kiongozi. Mtu asiweza kutunza familia yake hawezi kuongoza watu.

Anafahamu walipo,hakutaka taja namba ili hasimuudhi mkewe na nyumba zake ndogo.
 
Kwa kauli za ovyo ovyo kama hizi kwenue nchi za wenzetu zilizokomaa kimaadili, huyu mtu angekuwa out of his political office in no time.

Nilipata wazo la kuandika hivyo, bora umeliona, sisi jambo kama hilo tunaona tu kama hadithi za vijiweni, lakini mwenyewe kakiri hivyo ni kashfa kwa kiongozi ambaye anatakiwa kuwa kioo cha jamii kwa maisha na matendo yake.
 
..kama una interview na unajua kwamba una "mgogoro" ktk masuala ya ndoa basi kabla ya interview unapaswa kumtahadharisha mwandishi asikuulize masuala kuhusu ndoa yako.

..Ndugai ameshatoa majibu mengi ya hovyo-hovyo. nimeambiwa Ndugai ni mtaalamu wa WANYAMA PORI. Ingependeza kama angebakia huko huko kwenye taaluma yake.
 
Huwezi ukasema eti ni vigumu kujua mwanaume ana watoto wangapj inaelekea huyo ni proper muhuni ndo mana kasema hivi
 
Like father like son.... Like chairman like member... Jk ana wake na watoto wangapi? Huo ni mtiririko na tradition yao.
 
Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.

Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?

kumbe hajui wanawake wa kipare walivyo watata? aangalie jinsi kaka yake mzee john malechela anavyopatishwa shida na mama anne kilango.mke na mume kila mtu na chumba chake.
 
na huyu ndiyo kiongozi mkubwa kabisa katika mhimili mkubwa nchini lakini anajibu kama muhuni wa mtaani anasahau kwamba yeye ndyo anatakiwa kuwa mfano kwa wengine yaezekana sawa hakupenda kujibu swali linalohusu maisha yake binafi katka media basi tosha angekataa kwa njia nzuri ili tuwe na imani na yale anayozungumza.yahtajika darasa kwa viongozi wetu wajitambue wao ni nani
 
Huyu hukumu yake ni kukatwa kichwa hadharani maana amekiri ni mzinzi wa hali ya juu. Sijui Ukristo hukumu ya zinaa ni nini? Au ni pongezi?

Kweli jamani hii ni haki? kiongozi wa Kitaifa kama huyu kukiri uzinifu huku anajisifu kama vile ni sifa nzuri.

Miafrika Ndivyo Ilivyo - NN.

BRAVO Zomba. Kwa mara ya kwanza umenena
 
Na huyu ndio naibu speaker maadili yako wapi kama hujui ata watoto wako!

Mkuu nadhani kutokana na fani yake ya mambo ya viumbe hai ni vigumu sana kwa mwanaume kujua una watoto wangapi bila ya kuwa na kipimo (DNA) kwa mwanamke ni rahisi......unaweza ukajitapa una watoto 6 kumbe wote si wako....ndio maana baadhi ya jamii zamani walitumia majina ya ukoo upande wa mwanamke.....
 
kadhalilisha mke wake,inamaana hamuamini mke wake tena katamka kabisa mbele ya vyombo vya habari,Ilinisikitisha sana
 
Back
Top Bottom