Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

Mkuu, I'm sorry to say, you are very wrong.
They are quite different in every way.
A great figure like him was supposed to be frank.


Dr Slaa was frank enough to introduce a concubine at the rally, you know the rest of the story.
 
the approach ya kusema tumepitapita sio sahihi... angesema tu nataka hilo liwe private, kupitapita manake kutomba-*****, which is not right kwa nafasi yake, hata kama ni jadi yake

kuhusu upande wa pili, uko sahihi.... matendo yako wazi akina zito, slaa nao wameonyesha mapungufu hayohayo. kama nina kumbukumbu sahihi kuna wakati slaa alipata issue similar akiwa mbunge wa karatu na kurudi kuomba radhi, lakini sidhani kama kwenye public anaweza kusema yah, sijui nina watoto wangapi maana mie huwa NACHAP-CHAPA TU NDOGO ZIKIJILENGESHA

angepisha swali
 
Acha kutetea ujinga, yan unamsifia mtu kujibu swali kama mwehu! Kweli mtu ana sema sijui kama nina mtoto, alaf una muona shujaa! Si shangai wewe kumtetea maana hata wewe unaweza kusema ukumbuki kama ulisababisha mauaji!
 
Acha kutetea ujinga, yan unamsifia mtu kujibu swali kama mwehu! Kweli mtu ana sema sijui kama nina mtoto, alaf una muona shujaa! Si shangai wewe kumtetea maana hata wewe unaweza kusema ukumbuki kama ulisababisha mauaji!

Hakuna sehemu nimemsifia, nimewafundisha tu kitu msichokijua. Kama Josephine na Slaa wangeacha mahusiano nyuma ya majukwaa pengine heshima ya Slaa ingekuwa tofauti na alivyo leo ambapo hata watoto humcheka kutekwa na nyambizi.
 
huyu ndio kiongozi wa wawakilishi wa wananchi bungeni...kwa hiyo hata watoto wake au familia yake huwa haihudumiiiiiiiiiiiiiii....
 
hili la uasherati liacheni tu maana rais wa magwanda kaacha mke wake aliyemwachisha upadri kwenda kuiba mke wa mtu mwingine.
 
sikujua kama ni muhasherati.
inawezekana alijaribu kwa Mdee akakosa ndo sababu alimtukana.
 
Heri ya wabunge wanaolewa kipindi cha jioni cha bunge, kuliko yeye anayelewa muda wote!
 
Tusimcheke wala tusimlaumu, hiyo ndio hali halisi ya maisha yetu wanaume wa kitanzania anayebisha ujmue hajafikisha zaidi ya miaka 30 na kuwafahamu wanawake wa kitz!!!!! Kama unabisha anza kuangalia baba yako then rafiki zake then majirani then ndio umjaji ndugai, i mean toa kiboriti kilicho jichoni mwako kabla ya kumwonyesha jmwenzako!! Yangu ni hayo tu!!!
 


uko right sana salehe unajua madem wetu hawa wa haki sawa beijing kuishi nao kwa amani ni vigumu sana na mimi ushahidi ninao mwingi tu,nimeona wazee wengi sana nao wafahamu wamewaacha wake zao si sababu ya uhaserati bali karaha zisizohisha mwanamke akishajua umezaa naye matoto na akishajipa uhakiaka basi naye utakakuwa kama bwana ndo maana mtu kama ndugai na wengine uamua kuoa wake wengine ni bahati mbaya tu kwamba yeye na mkristo lakin angekuwa kama mimi ustaadhi wala wa2 wasingesema kitu.halafu hiho kipindi mi nimekiangalia huyo mtangazaji aliyekuwa anamhoji ni demu halaf alikuwa anajichekesha chekesha kwake sana tu,nafikiri alikuwa anauliza hivyo ilapate uhakika ili aombe nafasi yeye.jinsi alivyoling'ang'ania hilo swali ni wazzi eiher katumwa au anataka kujua undani achukue fomu uke wenza yeye.
 
uyu mzee anamke amemtelekeza yupo tabata segerea amezaa nae watoto wa3..wawl wa kike na moja wa kiuwe...saivi anaishi na bint mdogo huko dodoma..pia ana mtt mwngne mkubwa wa kiume alimpata pnd alikuwa kijana
 
Lahaula!!!
Huyu ndiye Kiongozi wa wakilishi wa Wananchi eti...!!!
 

Kama mtoa mada umemkariri sawa Job Ndugai, basi huyu mheshimiwa hana maadili, mfano mbaya na hatari kwa jamii na wanawake wawe makini sana naye.

Ni dalili wazi anafanya ngono na wanawake ovyo, kwani ye yote mwenye ustaarabu anajua amefanya ahusiano na nani na amefanikiwa kupata watoto wangapi ambao anawajibika kuwatunza.

Kwa maelezo hayo ina maana anawatoto wengi aliowatelekeza. Hiyo kauli kama ni ya kweli imetoka mdomoni mwake imenishtua sana na si jambo la kawaida, labda tu mabaharia ndio wanaoweza kufanya hivyo.
 

mhh umeishiwa kuliko wana jf wote
 
Dr Slaa was frank enough to introduce a concubine at the rally, you know the rest of the story.

You know the end of the story with the so called "concubine". Now she is Mrs........finish it by yourself.
So for him (Dr. of course)
it's worth to be frank.
 
Ok kumbe mh. anafanya ngono zembe!... Jamani viongozi kumbukeni nyie ndio kioo kwa jamii mnayo iongoza
 
You know the end of the story with the so called "concubine". Now she is Mrs........finish it by yourself.
So for him (Dr. of course)
it's worth to be frank.

What was the price? In any sensible mind, Jangwani move was a blow to Slaa, his girlfriend and CDM.
 

kweli wewe umelishwa kiapo cha kufa na GAMBA mwilini yaani unatetea uchafu ule kweli? Bila shaka hata wewe hujui idadi ya wanao!
 

Shame on you Ndungai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…