Job Ndugai asema wabunge wa bunge la jioni hawako sawa, walevi!

Huyu sijui anatumia nini?
1.jpg
 
Kwa kuwa kazi kubwa ya mbunge ni kusikiliza, kutafakari na kutoa michango ya maneno na maandishi inayohitaji akili timamu. Na kwa kuwa pombe na sigara mbalimbali zinaharibu uwezo wa akili ya mtu kusikiliza, kutafakari na kutoa michango. Nashauri tuanzishe kipimo cha ulevi na utumiaji wa madawa mengine na sigara mbalimbali "i.e. doping test" kwa wabunge kabla hawajaingia bungeni na wakati wanapotoka ili tuwanase hawa anaowasema ndugu Job Ndugai. Akigundulika anapigwa marufuku kuendelea na vikao.

Hii tayari inafanyika kwa madereva wa magari barabarani, na kwa wanamichezo.
 
Wakishakunywa viloba na kuvuta sigara haramu zao ndo wanapitisha miswada kama ya mifuko ya jamii.shame on them
 
Huyu sijui anatumia nini?
1.jpg
Hawa ndio wale ambao mapumziko ya mchana wanapiga kilaji pale Dodoma Hotel wakati wenzao wanautumia muda huo kujipanga kufanya research na mkakati wa session ya jioni. Matokeo yake ni kuchapa usingizi tuu
 
Hatuna Bunge limegeuka kuwa genge la mipasho, na ndio maana wanapitisha miswaada ya ajabu, na wao wanashangaa as if haikupita bungeni, hii ni aibu na ni ufisadi mwingine
 
naibu spika yuko startv kipindi cha medani za siasa na uchumi, anadai mdee alimtukana kwa kumuonyeshea kidole cha kati, pia anadai hajui idadi ya watoto alionao, anatembelea mitandao ukiwepo jf na blogs nyingi tu.
 
heh kwani alikuwa hajui kuwa hao CHADEMA ni wahuni. na hawana tofauti wahuni wowote wale. mwenyekti wa chama cha mtu mzima ,mzee, padri, mstaafu eti ndio kaoa juzi tena kaoa mke wa mtu. mwingine mr MBOWE anamiliki club ya usiku bilicanas tena hata jengo lenyewe kakopa . wabunge wenyewe ndio hao wanaonyesha dole la kati tena huyo mbunge ni mwanamke .sasa hiko ni chama au mkusanyiko wa genge la wahuni
 
Mwenyekiti wa ccm vyuo vikuu analalamika kwenye vyombo vya habari kwamba watapeleka malalamiko polisi ili wafanye uchunguzi. Alisema haiwezekani viongozi wawe wanaingia Bungeni huku wamevuta bangi. Alisema wao kama ccm watahakikisha polisi inafanya uchunguzi ili tabia hiyo ikomeshwe Bungeni ikiwemo kufunga mitambo ya Kugundua mtu aliye mlevi asiingie Bungeni. Hii itarudisha hadhi ya bunge aliongeza. mia
 
Job Ndugai alikuwa anawasema akina MAKINDA, LUKUVI na WEREMA. Kule tu sio wanavuta tu, bali wanatumia bangi kama MBOGA!
 
Sawa kabisa Ndugai, ni kweli hawa watu hawako sawa kabisa wakiwa bungeni akianza mwenyewe Ndugai.

Hamkumbuki kuna mbunge mmoja hivi karibuni alikuwa anamwaga matusi kwa CDM, naibu spika akafurahi akamwambia arudie, kama havuti bangi hiyo hali yake ilisababishwa na nini?
 
Nape anasema wabunge wanaingia bungeni wakiwa tayari washavuta bangi na kunywa viroba.

source: ITV
 
yeye anapaka tu caro lights,ila Nkamia,Nchemba,Ndugai,Serukamba......hawa kabla ya kuingia bungeni lazima walambe ze gamba na kiroba original chapa ya jogoo
 
Back
Top Bottom