Job Ndugai asema wabunge wa bunge la jioni hawako sawa, walevi!

Job Ndugai Naibu wa
Speaker... amesema baadhi ya wabunge wa bunge lajioni wengi wanakuja
wameisha lewa, wamevuta sigara mbali mbali, wanakuwa wamelamba vitu
mbalimbali!!

Na kasema kampeni zinazofanyika mara nyingi ni za matusi kwenye mikutano
kwa vyama vyote pamoja na chama chake cha CCM!! Amelaani sana viongozi
kampeni za matusi kwenye mikutano....

Source: Star Tv medani za siasa na uchumi.

kiti cha spika ndio kinaongoza kwa ulevi na ndo maana kimekuwa ni chanzo cha vurugu zote bungeni......hatuhitaji hoja dhaifu kama za naibu spika....
 
Back
Top Bottom