Job Ndugai asema wabunge wa bunge la jioni hawako sawa, walevi!

Ndugai unajua posho, mikopo na mishahara wanayopokea wabunge inatokana na kodi ya pombe, sasa wasipokunywa unatagemea nini itakuwa hatima ya posho, mishahara na mikopo wanaypoewa?

Mps hold your bottles and drink on.
 
Ndugai unajua posho, mikopo na mishahara wanayopokea wabunge inatokana na kodi ya pombe, sasa wasipokunywa unatagemea nini itakuwa hatima ya posho, mishahara na mikopo wanaypoewa?

Mps hold your bottles and drink on.

Hahahahaahaaa! Hilo nalo neno.

Lakini hebu tujiulize kama kuna ukweli kwenye hili, kwa sababu Ndungai hakueleza sababu anazofikiri zinasababisha MPs watumie vilevi kwenye session ya jioni na sio asubuhi. Nijuavyo mimi, kwa wavuta bangi na watumia unga, ni lazima wastue first thing in the morning ili siku ianze. Sasa why hao MPs mateja wanastua jioni tu badala ya asubuhi?
 
Anachosema Mh Ndugai ni kweli na msisahau amewataja wa vyama vyote na amelaumu pia jinsi wanasiasa wanavyoendesha siassa majukwaani na amalaumu wote wa CCM na wa vyama vya upinzani kwa kukosa hoja na nidhamu katika majukwaa, tukubali kuwa angalau haya anasema kweli. Nimependa jinsi alivyokuwa anakumbuka maisha asili akiyafurahia ni jambo ambalo wanasiasa wengine wanadhani sio mazuri kwa upofu wao wa kukaa mjini wakidhani ni maisha duni, wanasahau Madaktari wanatuhimiza turudi maisha ya asili kijijini ikiwemo kula na jinsi ya kuishi.

Mkuu, unaamini hayo ndiyo kweli maisha anayoishi yeye na familia yake!!!???
 
yeye mwenyewe ni mvutaji mzuri sana,yeye ulevi wake mkubwa bange na totoz,akiwa kwenye kiti anafikiria appointment
 
Kwanini hakusema wengine wanaingia bungeni baada ya kutoka guest house na vyangu? Kwanini hakugusia wabunge kama yeye wanaozini hovyo hovyo na kusahau hata wapiga kura wao? Kweli nyani haoni nonihino lake!
 
Job Ndugai Naibu wa Speaker... amesema baadhi ya wabunge wa bunge lajioni wengi wanakuja wameisha lewa, wamevuta sigara mbali mbali, wanakuwa wamelamba vitu mbalimbali!!

Na kasema kampeni zinazofanyika mara nyingi ni za matusi kwenye mikutano kwa vyama vyote pamoja na chama chake cha CCM!! Amelaani sana viongozi kampeni za matusi kwenye mikutano....

Source: Star Tv medani za siasa na uchumi.
1.Chemba anabwia unga
2.Liwalo naLiwe anabwia ugolo
3.Ol -sen analamba Komoni
4.Killago anapiga msokoto
5.Ndugai totos
Ongezea nawewe:flypig:
 
Sasa nimepata jibu..kumbe maamuzi mengine anayofanya ndugai yanatokana na msuba..au ndovu baridi..tusimlaumu sana.
 
Mh Haya nimekusoma, leo umemsikiliza Mh Komba Clouds ak teta kuhusu afya yake?

Hapana mkuu. Nina tatizo moja na Clouds. Wana utoto mwingi sana na lugha isiyo staha, ndiyo maana huwa siwezi kuwasikiliza katika vipindi vyao.

Labda dokeza mkuu, kasemaje huyo Mhe. Komba?
 
Mbona kawaida tu, tena mimi huwa sionyeshi cha kati pekee,hadi kidole gumba, na vya miguuni pia!

Kwani kidole cha kati kina tofauti gani na vidole vingine? Na hiyo tafsiri mbaya ameijuaje Ndugai kama yeye mwenyewe siyo muhuni?
 
yaani leo ndo nimedhibitisha ndugai kilaza majibu ya hovyooo,na yeye pia atakuwa ganja anavutia chooni.
 
Hapana mkuu. Nina tatizo moja na Clouds. Wana utoto mwingi sana na lugha isiyo staha, ndiyo maana huwa siwezi kuwasikiliza katika vipindi vyao.

Labda dokeza mkuu, kasemaje huyo Mhe. Komba?
Kawaonya watu kuwa makini na wanachokula, wasidhani kula hovyo ni afya... nadhani alikuwa anafanya reference kwa uzito wake na hali ya afya aliyokuwa nayo hivi karibuni... ethically nisingependa kucomment
 
Back
Top Bottom