Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
Hata likipigwa bunge si Ni yaleyale? Kwani bunge lina umuhimu gani kwasasa?
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
Yeye si aliona raha kumtendea vile Prof.Assad? acha naye yamkute. Halafu kupigwa kwa bunge la CCM bado ni sawa tu. Bunge kibogoyo la kijani!
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
Utakuwa mjinga zaidi Kama hutatambua kuwa bunge limepigwa kwasababu halijaweza kujibeba bunge naona ni muhimili unaobebwa na muhimili wa rais ndiyo maana wanapigwa za macho wangejielewa wasingefika huku walikofika moja ya dhambi kuu ni kuruhudu bunge kuwa la chama kimoja na bado watapigwa mpaka wakome ukitaka jiue tu hakuna jinsi
 
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.

Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!

Wajinga hawaelewi hili
Bunge limepigwa tokea October 2020
 
Back
Top Bottom