Kwanini Prof Assad akijiingiza tu kwenye jambo la kisiasa basi Moto wake unakuwa mkubwa sana?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Kwa mfano moto uliowaka bungeni baada ya Kauli za alhaj Prof Assad kutafsiriwa na Ndugai kuwa ni za kulidharirisha Bunge

Sasa katia Neno kwenye Bandari, cheche zimeanza

Yawezekana huyu Prof ni Nabii kama ulivyo uprofesa 😀

Nawatakia Sabato njema!
 
Huwa ni mkweli na anazo hoja za kutetea anachokiongea na zinaeleweka kwa kila mtu. Wengi wetu hatupendi kuusikia ukweli ukisemwa kwani huwa unazisuta nafsi zetu.

Kaongea ukweli na kwa weledi mpana masuala ya IGA na HGA kwa kutolea mfano wa uwekezaji wa zile cranes na gharama zake na haya masuala ya uendeshaji ya bandari huwezi kuyasikia yakisemwa na wanaharakati wa mitandaoni.
 
Hata alipoomba pesa ajengewe msikiti mdogo ndani ya ofisi yake kuliripuka!!!
 
Back
Top Bottom