Prof. Mussa Assad: Baada ya kuondolewa nafasi yangu kwa dhulma, niliendelea kufanya Dua, na Mungu amejibu

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,663
C.A.G Mussa Assad, akihojiwa na channel ya YouTube inayoitwa "CHANZO" amesema aliondolewa nafasi yake kwa dhulma, na kwamba baada ya kuondolewa aliendelea kuomba dua, na Mwenyezi Mungu amejibu.

Prof. Mussa Assad alijikuta katika misukosuko na John Magufuli na Spika mstaafu Job Ndugai.
 
Kuna mahali kamtaja JPM.....wewe ndio una chuki. Yeye kasema aliendelea kuomba dua.
Kwamba kalipwa baada ya kifo cha Magu na yeye karudishwa nafasi yake?

Tatizo udini ukikuzidi sana hata kama ni msomi kwa kiwango gani huondoa maarifa na busara.

Yeye angekuwa wa maana dunia ingekuwa imeshamchukua na kumtumia kama kina Mwelle Malecela.

Ana mapungufu mno kuliko anavyodhania yupo sahihi. Kiislam huwa wanaamini kila ridhki hupangwa na mwenyezi Mungu ndio maana huwa wanasema kila mtoto anazaliwa na ridhki yake.

Huyu ridhki zake za visasi na husda. Atabaki hapo sana tu.
 
Ndio maana nasema pamoja na kuwa na sigida huyu jamaa ni msindikizaji katika dini.

Kinachombeba ni elimu tu katika uislamu.
mwislamu safi mcha Mungu huwezi ukamuona ana sigida. wenye sigida wengi ni wanafiki, wana chuki, roho mbaya na ni wakatili sana. Hata hivyo mbona waarabu hizo sigida hawana? Hata imamu/sheikh mkuu wa maka hana, inakuwaje hawa waswahili wanazo, wanajisugua makusudi?
 
Kwamba kalipwa baada ya kifo cha Magu na yeye karudishwa nafasi yake?

Tatizo udini ukikuzidi sana hata kama ni msomi kwa kiwango gani huondoa maarifa na busara.

Yeye angekuwa wa maana dunia ingekuwa imeshamchukua na kumtumia kama kina Mwelle Malecela.

Ana mapungufu mno kuliko anavyodhania yupo sahihi. Kiislam huwa wanaamini kila ridhki hupangwa na mwenyezi Mungu ndio maana huwa wanasema kila mtoto anazaliwa na ridhki yake.

Huyu ridhki zake za visasi na husda. Atabaki hapo sana tu.
Unaonekana una chuki lukuki na huyu Bwana........kuhusu dini....siwezi sema chochote.
 
Ulishawahi kufundishwa na Prof maishani mwako? Au hapo mwalimu Nyerere hakuna maprof?
Sio bure ndo maana nisha ku ignore kitambo sana .

Maxence Melo Paw Moderator hawa watu tunao wa ignore ina kuaje wana reply comments zetu na wana ziona hii block kazi yake ni nini .si kutuondolea watu wenye akili ndogo kwenye our personal space
623160486.jpg
 
Back
Top Bottom