BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,041
Baada ya kubonyeza (kufungua) kambi wangeweka option ya ''search'' ili upate jina lako kwa urahisi. Mambo ya kijeshi bhana, hawataki jambo ulifanye na kupata kirahisi rahisi.Kupotezeana Muda tu
Mkuu nipo seriuos unajua
kuliwa pia nimoja yamafunzo yauzalendoTuyaache tu mkuu aliyepita huko ananielewa.... Kwa kifupi mafunzo ni mengi hasa kwa watoto wa kike
Kupotezeana Muda tu
Kabisa
JKT ni kuwapotezea muda vijana.
Mafunzo ya JKT hayajawahi kua na maana yoyote.
Kwenda kufundishwa kukesha usiku kucha, sijui kugalagala kwenye matope eti ndio uzalendo sijui ukakamavu.
JKT kuwapotezea muda vijana, muda amvao wangeweza kuzalisha au kufanya mambo ya maana kwenye maisha yao.
JKT badala ya kufundisha watu ujuzi wanaenda kufundisha watu kukesha, kumwagilia bustani, sijui kufanya ujinga gani mwingine eti ndio uzalendo.
Chakula ya prvt kwenye mkeshaNawaonea huruma watoto wa kike daaahhhh
Tuyaache tu mkuu aliyepita huko ananielewa.... Kwa kifupi mafunzo ni mengi hasa kwa watoto wa kike
Wangu hakwenda msimu uliopita ni jukumu la mzazi kumlinda mtoto wako na hasa wa kike
Nikikujua wewe ni mzazi kisha unamruhusu mwanao wa kike aende JKT nitajitolea kukuchapa makofi.
Hata hivyo mimi mwenyewe sikwenda, nilifanya mradi wa serikali nikalipwa hela na kuijenga nchi. Wao wakajiviringisha kwenye matope na kuimba eti ndo uzalendo. Walirudi njaa kali na hawajafanyia chochote taifa.
JKT ina faida gani wa FORM 6? , niya kufuta muda ukifika
Ungejua maisha yangu yalivyo usingenambia umuhimu wa JKT ya miezi mitatu kasoro.Hivi unaelewa ulicho kiandika? Huwezi kujua umuhimu wake Kwa sababu hukuenda.
wazi afande.Zamani sisi tulilipwa sh.50! Hiyo hiyo yenye kona kona, nusu ya mia unayoijua wewe.
Hiyo sawa kabisa ,kwa kipindi cha jk ukitoka six kupata nyota simple sanaaaa.ila baada ya mzee baba kushika hatamu ukienda na form six yako officer utaisikia kwa redio.πππ labda itokee wanahitaji ma officer,Washkaji zangu wana nyota nowJK alikuwa mtu poa sanaaa
Shamba duniaDaa. Oljoro wajiandae kupalilia shamba la embakasi ,dunia na duka la mbao.
Watakao enda rwamkoma kidogo watakula shavu kile kishamba chao sio kubwa kiviilee alafu pale tano ni kumwaga tee ni nje njee