JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

Acha niseme ukweli ulio wazi mimi siyo mfuasi na sijawahi na sitakuja kuwa mfuasi wa mh.JAKAYA ila napenda kuzungumza ukweli ulio wazi ya kwamba pamoja na udhaifu wake woote huyu jamaa amesemwa sana ameandikwa sana ya ukweli na yenye uwongo ndani yake amekuwa m2 mwenyewe uvumilivu mkubwa kuhusu habari nyingi hususani kwenye mitandao ya kijamii,magazeti na stori za kawaida mitaani na sehemu za kazi.Binafsi ningekuwa mimi nisingeweza nadhani hata kamanda wa mafisadi aka mh. 6
 
Kilichompatia umaarifu ni vyombo vya habari, sasa na kumchafua ndio vinavyomchafua
 
We need positive Solutions to all challenges!! that will make him the best.
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

Common sense sometimes is not common to all
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

alikuwa anaonekana mzee ruksa ndo zoba, ila sasa mzee atapumzika kwa amani kwani KING ZOBA kikwete amempokea kashfa ya rais Bogas kupata kutokean nchini tanzania
 
Have you also considered the evolution of electronic media? Was there Facebook, Twitter, JF, Wanabidii, etc to make the situation similar?

I think we should be very careful when talking about social media. Is he torelant or handicapped? I mean what could Nyerere or Mkapa for that matter, do about Facebook or Twitter? You can lock down mainstream media editors but not social media where anyone is a reporter, an editor , a writer you name it.

Simply put, they are powerless, they may have the ability to ban Jamii Forums but the masters and chief whips of "FREE SPEECH" will not let them.
 
Kuzidisha Barabara
Kuzidisha Shule
Kuzidisha afya
Kuzidisha Uchumi
Kuzidisha Demokrasia
Kuzidisha Maji
Kuzidisha Kazi
Kuzidisha Viwanda
Utalii
Kupigana na Rushwa
Kwa haraka haraka hayo hapo juu kafanya kuliko Rais yoyote wa kabla yake.

Shule Nyingi hazina viwango na sasa watu wengi hawajui kusoma na kuandika, watoto shule za kata na msingi kukaa chini hayo ndio maendeleo? mgao wa umeme kila kukicha, watu wanachota maji kilometer kadhaa, utasema hayo ndio maendeleo ndani ya 50yrs ya uhuru? wanawake wajawazito kubanana kwenye vitanda au kulala chini wakati wa kujifungua,maisha kila kukicha yamepanda bei na shilingi kuzidi kuporomoka na mengine mengi ndo kusema jk ni bora kuliko wengine?
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

Hapa kweli umedhihirisha kwamba wewe ni MATOPE. Na MATOPE wenzio wameungana na wewe
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake
mmmh..siamini macho yangu...wewe ni mtanzania!??
 
  1. Nyerere took advantage of the situations then
  2. Myinyi let the situations take advantage of him
  3. Mkapa let others took advantage of the situations on his command
  4. Kikwete does not know what the situations are and what to do with them
 
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma

:lol: hahahahahahaha, hey mods this is supposed to be in the Jokes' section. Hahaha. Joke of the day. Kudos
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

Kweli we Matope
 
ni rais aliyepitia misukosuko mingi
ni rais alikumbana na upinzani mkali
ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
ni rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
ni rais anayepambana na ufisadi mf richmond,epa,nk
ni rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
ni rais msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

namtakia kila la heri na kazi yake

ni rais anayehudhuria misiba kuliko rais yeyote yule aliyewahi kuwa madarakani tanganyika
 
Symbion wataleta umeme..ok

Kuutoa wapi? hivi hawa ni wajomba zetu mpaka 'walete' afu sijui waugawe bure?...wako kibiashara na tunavyozidi kuwakaribisha na ndivyo ufukara wa mali na akili tunavyouvaa na kuishi nao..
 
Kuzidisha Barabara
Kuzidisha Shule
Kuzidisha afya
Kuzidisha Uchumi
Kuzidisha Demokrasia
Kuzidisha Maji
Kuzidisha Kazi
Kuzidisha Viwanda
Utalii
Kupigana na Rushwa
Kwa haraka haraka hayo hapo juu kafanya kuliko Rais yoyote wa kabla yake.

Kapinga rushwa Ipi?
Kazi ziko wapi?
Barabara zipi? unaifahamu barabara ya UHURU?
Uchumi upi tena uliokuwa?
Maji yako wapi?
Afya ndo hali mbaya mahosipitalini, labda wewe unaenda Rgency, Hindumandali..etc
Shule za kata nakubali
 
ni rais aliyepitia misukosuko mingi
ni rais alikumbana na upinzani mkali
ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
ni rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
ni rais anayepambana na ufisadi mf richmond,epa,nk
ni rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
ni rais msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

namtakia kila la heri na kazi yake

ahhh kumbe mwanzilishi wa topic ni matope, tope lazima alete tope so umetendea haki jina lako!
 
Afadhali ndugu umwambie huyu akili matope. JK kawaaminisha wazee wa CCM na vijana wenye uelewa finyu kwamba yeye ndiye anayetoa Uhuru wa kuongea. Kweli Kazi ipo!
Matope kweli uhuru wa kuongea anatoa rais na sio KATIBA.Umesoma shule gani wewe?
 
nakubaliana na wewe jk ni rais bora nyuma ya mwl jk.

ni rais aliyethubutu kuwashitaki mahakamani waliowahi kuwa mawaziri na makatibu wakuu,
ni rais aliyetukanwa kila aina ya tusi na wapinzani na yeye akawatabasamia tu,
ni rais aliyebezwa sana na magazeti uchwara na wachambuzi uchwara,
ni rais aliyesemwa sana na mivituo vya tv kupitia vipindi vyao,
ni rais aliyejitahidi kuwavumilia watu wa kila lika kwa yote mabaya waliyomsema,
ni rais asiyependa kujenga uadui na mtu, nk, nk, nk,nk......!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom