JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

Inawezekana kabisa kuwa rais kikwete ni bora kuliko wote kwa sababu zifuatazo uhuru mkubwa wa vyombo vya habari pia ni rais ambaye hajavibana vyama vingine vya siasa

siyo kwamba hajavibana ila sema tu ana asili ya uoga kuwa-face hawa watu wanaomiliki hivi vyombo si unajua ndio waliomkweza hapo ikulu au wewe hujui, si unaona ze utamu ilivyomharibia mpaka leo watu tunajua nini kuhusu mmiliki wake
 
Back
Top Bottom