JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

Sawa, lakini kuna vigezo angalau viwili vya kutathmini "ubora wa rais JK": aidha kulingana na vigezo na dhana za "Mfumo Kristo" au zile za "Mfumo Uislamu". Au wewe unaonaje?

Jenga hoja!! acha kutoka kwenye mada!!

FF na Tropical wanajalibu kutoa hata statistic facts!! acha porojo mada hapa si ukristo au uislam!!
 
Haya ni maneno ya Mstaafu SAS na si maneno ya BAK na huyu sidhani kama ana chuki binafsi na Kikwete hata baada ya Kikwete na kundi lake la mtandao kumchafua katika kampeni za 2005:

ANAONYA BILA MARIDHIANO NCHI ITAELEKEA KUBAYA, KITINE ADAI SERIKALI 'INATUPELEKA PABAYA'
Boniface Meena
Mwananchi

MJADALA wa Muswada wa Katiba Mpya umechukua sura mpya baada ya viongozi waandamizi wa Serikali wakiwamo wastaafu, kutaka upatikane mwafaka wa kitaifa kuhusu suala hilo vinginevyo taifa litaelekea kubaya.Onyo la viongozi hao akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Dk Salim Ahmed Salim na Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa , Dk Hassy Kitine, linakuja ikiwa ni siku chache baada ya Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Zitto Kabwe kutaka mwafaka huo wa kitaifa.

Jana, viongozi wakichangia maoni yao katika mdahalo uliondaliwa na Taasisi ya Mfuko wa Mwalimu Nyerere (MNF), kuhusu nafasi na umuhimu wa katiba katika maisha ya Watanzania, kwa sehemu kubwa walipaza sauti kutaka mwafaka huo ili kunusuru taifa.

Kauli ya Dk Salim
Dk Salim ambaye ni mwenyekiti wa MNH, alisema ni muhimu kuwe na makubaliano na maafikiano katika suala la Katiba Mpya kwa CCM na Chadema.

Alisema, “Chama tawala na chama kikuu cha upinzani vijue tunaangalia mustakhabali wa taifa letu, lazima uelewano uwepo”.
Dk Salim alisema kwamba malumbano si mazuri japokuwa ni sehemu ya siasa, lakini akaonya kwamba yasiruhusiwe yakasababisha nchi ikafika pabaya.
“Ninachoomba chama tawala na Chadema wafikirie mwafaka na kuangalia mustakhabali wa taifa, kama hakuna maafikiano si jambo zuri kwa taifa,”alisema Dk Salim ambaye ana uzoefu na utatuzi wa migogoro ya kimataifa.

Mkuu BAK!!

Tujikite kwenye facts zinazojibu au kupinga hoja hizi statments za wanasiasa wengi wao ambao hawapo kwenye system kwa kustaafu au kutemwa kwa kashifa huwa zinautata sana tuwe makini wakiwa hawamo huwa wanakosoa sana wakiwemo huwa kimya!! chunga hawa sana
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

We umetumwa,ugumu ni mbegu aliyojipandikizia.Kwel we ni MATOPE so hope na akil yko ni TOPE.
 
kajitahidi rais wetu!!! ila kuna mambo mengi napo yamemshinda
 
Sasa hilo gazeti ulilobandika ndiyo unataka kuekeza nini, maana hapo sioni hata kimjoa kinachoelezeam kuwa Kikwete hajajenga barabara zaidim hajajenga mashule zaidi, sijaona. naona ni wazee wanaongea siasa na hao wote walikuwepo kabla ya Kikwete walifanya nini?

Huyo SAS si aligimbea kinyang'anyiro cha Urais na Kikwete? au umesahau ni nani akaibuka mshindi? hao wote si waliwahi kuwa mawaziri wakuu wa hii nchi ni kipi kimoja tu walichokifanya wakati wao ambacho Kikwete hajakifanya zaidi.

Usilete porojo zisizokuwa na mpango kufanya hila za kuharibu mada, kaa kwenye mada, kama unataka kuanzihsa mada mpya fanya hivyo, sisi tupo tutakuja kuchangia.

Sina haja ya kubishana na magamba wewe. SAS ameweka mbele maslahi ya nchi badala ya Magamba na wewe umeweka maslahi ya Magamba na ndio maana huoni kama chini ya Kikwete nchi inadorora katika kila sekta usafiri, elimu, afya, ajira, uchumi vinginevyo kama kada wa CCM asingekuwa tayari kusema kwamba Kikwete anaipeleka nchi pabaya lakini kwako wewe kila kitu nchini kiko shwari kabisa na wale wanaosema nchi inaenda pabaya basi wana chuki binafsi na Kikwete au wanasema uongo kuhusu utendaji mbovu wa Kikwete.

Kikwete aliibuka mshindi lakini baada ya kutumia mabilioni ya pesa za mafisadi yaliyokusanywa kupitia migongo ya mafisadi mbali mbali hasa wahindi na kundi lile maarufu katika kampeni za 2005 lililojiita mtandao. Na pesa hizo ndizo zilizomfanya Rostam amuweke mfukoni Kikwete na hata Kikwete kumuogopa Rostam kama ukoma kwa sababu anajua fika kwamba Rostam anajua uchafu wote na madudu yaliyofanyika ili kumuzesha Kikwete kuingia Ikulu 2005

Nawatakia jioni njema wewe na magamba wenzio.

Nimeona niingie jukwaani nitoe yangu machache hasa kwa wale wenzangu wanaombeza rais mh.JK.....pamoja na yote yanayosemwa na kujadiliwa... JK bado ni rais bora na makini kuliko Mwinyi au BM....maendeleo kwenye kipindi chake yanaonekana na matatizo pia yanaonekana ingawaje mengi ya matatizo ni ya kurithi toka kwenye utawala wa che nkapa...baradhuli alietuuzia nchi yetu kwa mafisadi na kulirithiwa na JK.....Nawasubiri kwa hamu mashemeji wa che nkapa aka magwanda mje kwa nguvu zote kwenye jukwaa letu grt thkr......u r welcome...
 
Sina haja ya kubishana na magamba wewe. SAS ameweka mbele maslahi ya nchi badala ya Magamba na wewe umeweka maslahi ya Magamba na ndio maana huoni kama chini ya Kikwete nchi inadorora katika kila sekta usafiri, elimu, afya, ajira, uchumi vinginevyo kama kada wa CCM asingekuwa tayari kusema kwamba Kikwete anaipeleka nchi pabaya lakini kwako wewe kila kitu nchini kiko shwari kabisa na wale wanaosema nchi inaenda pabaya basi wana chuki binafsi na Kikwete au wanasema uongo kuhusu utendaji mbovu wa Kikwete.

Kikwete aliibuka mshindi lakini baada ya kutumia mabilioni ya pesa za mafisadi yaliyokusanywa kupitia migongo ya mafisadi mbali mbali hasa wahindi na kundi lile maarufu katika kampeni za 2005 lililojiita mtandao. Na pesa hizo ndizo zilizomfanya Rostam amuweke mfukoni Kikwete na hata Kikwete kumuogopa Rostam kama ukoma kwa sababu anajua fika kwamba Rostam anajua uchafu wote na madudu yaliyofanyika ili kumuzesha Kikwete kuingia Ikulu 2005

Nawatakia jioni njema wewe na magamba wenzio.

umesema ukweli ila kwa akili ya Faizy sijui kama atakuelewa.
 
huku kitaani kwetu kama ww huwa tunawaita left hand.
 
Nchi kama Tanzania ni miongoni mwa nchi chache barani africa ambazo demokrasia kwao ni kuwa na rais mpya kila baada ya miaka kumi bila wananchi kujali wanataka kiongozi wa aina gani na hawafanyie nini na hata kiongozi mwenyewe hajui nini afanye na nini matarajio ya wananchi,mfano hata ukimuuliza Kikwete au Pinda leo kwanini Tanzania ni maskini,atakujibu sijui.
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

ni rais pekee afrika aliyeweka rekodi ya kuifanya tanzania kuwa nchi pekee afrika kuwa kinara wa kuombaoma
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

kweli kabisa ni rais pekee aliyekubali kukutana na wapinzani na kusikiliza maoni yao .. yangekuwa na tija na taifa angewasikiliza.. jk ni mvumilivu sana .. watu walidharau vikao vya bunge.. watu ambao walitoa tamko la kutomtambua kisheria.. lakini bado alikubali kuonana nao..

viva JK

[h=2]njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
[/h]
 
Hayeni Hongereni the kikweteist,FF ,Topical,Mzee and Others.Kikwete is the best President of times, tuchukulie kwamba tumekubali.So
  • Ametutoa kwele hali duni ya maisha hadi katika maisha bora kwa kila mtanzania.
  • Wagonjwa hawalali chini tena pale muhimbili,
  • Pale UDSM wanafunzi hawakai chini tena,
  • kule kijijini kwetu mipilo wanapata maji safi na salama,
  • Per Capital income imepanda kufikia sh 5000 kwa siku kwa kila mtanzania,
  • Mfumuko wa bei umeshuka kwa kiasi kikubwa toka 5.6% kipindi cha mkapa hadi -15.6% sasa hivi,
  • Kiwango cha elimu kinazidi kukua kwani ufaulu wa wanafunzi katika kila level unazidi kupanda kwa wastani wa asilimia 30% kwa mwaka
  • Hakuna kabisa tatizo la nishati ya umeme kwani uwekezaji mkubwa umefanywa,bei ya umeme kwa mtumiaji imeshuka sana
  • Uzalishaji viwandani umekua kwa asilimia 60% tangu kipindi cha mkapa
  • Rushwa kubwa kama Richmond imeshughulikiwa kwa watuhumiwa kufikishwa mahakamani
  • Umoja wa kitaifa umeongezeka sana,Udini wa kipindi cha nyerere umeondoka
  • Nchi imeondoka kutoka Ombaomba namba tatu duniani kipindi cha mkapa hadi namba 130 sasa
  • Viwanja vya ndege vimeendelezwa sana,hakuna kikwazo kusafiri kwa ndege katika viwanja vya majiji ya Mwanza,Mbeya,Arusha na Tanga.
  • Shiika la ndege la taifa (Air Tanzania) limeendelea sana,sasa linamiliki ndege 25 zinazosafiri duniani kote
    Na mengine mengi ambayo Bwana kikwete amefanya. Ha ha ha ha
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

Regarding him being RAIS I still have a lot of doubts but one thing is so sure as far as I'm concerned, he is so RAHISI

Sijui ni vigezo gani umetumia lakini anyway I'll surrender myself to Romans who used to say de gustibus est non disputandum!!!

in similar cases huwa ninakuwa mdogo na ninakosa la kuchangia, haya bwana, nakubali yaishe!!!
ahahahahaha
 
Mkuu wa maibilisi hawezi kamwe kupingana na vibilisi vidogo.Kikwete anahusika sana na kile kinachoitwa rushwa na ufisadi.Laiti kama asingehusika,basi angalau angeweza kuwakemea akina Lowassa na wenzie,lakini kwa sababu anahusika,hawezi kupambana nao coz watamuumbua kwa wabongo na hatutakawia kumfanya walichomfanya Gadaffi.Tuache kusifia upuuzi jamani,kwani mnalipwa kuchangia mada humu?kama mna maslahi yenu plz kaeni kimya tuachieni wanaharakati.@faiza foxy
 
Rais pekee aliyekwisha ongeza mitambo ya umeme amma iko tayari nchini amma iko kwenye mchakato wa kuundwa, kurasimiwa amma kufungwa kuliko mwingine yoyote wa kabla yake.
wewe na mtoa maada mpo sahihi katika kile msichokijua. Hata kupanda ghalama za umeme kwenu ni mafanikio.
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

kha huna hata haya kuleta propaganda zako, labda kwa kujichekesha chekesha anaongoza AFRICA.
 
we all face problems. Ata Makapa alipata matatizo mengi tu, Mv Bukoba, Upinzani mkalli wa NCCR, Kudorora kwa uchumi, Fujo za CUF wakati huo, kuunda baraza jipya la mawaziri tena askari wa miamvuli, kutengeneza pesa nyingi kutoka kwenye mashirika ya umma nk.. tofauti kubwa inakuaga on how we solve our problems. Yule mwanazuoni aliekamilika huwa anadeal na matatizo yake na sio kuomba omba. Ukiona unaangushwa na wasaidizi wako ni kwa 7bu umekosea kuwachagua au wewe ni legelege kuwawajibisha.
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake
nilivyoona jina matope cna commet maana jina linasadifu kilichoongelewa hapa.
 
Ungekaa kimya kuhusu umeme ningekuelewa maana unanikumbusha habari ya Richmond na Dowans!!
Hv wamiliki walishajulikana?
 
Back
Top Bottom