Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,035
- 25,031
Inategemea na time na spatial domain unayotumia ku-define metrics zako. Kama unatumia domain ya mwaka 1985 kwa Tanzania, basi ni kweli; ila kama unatumia domain ya 2010 angalau kwa Afrika ya Mashariki tu, basi ni dhahiri kuwa watanzania tuna mawazo kama ya mbuni.