kyoma kulala
Member
- Nov 24, 2010
- 66
- 17
kama ni kweli kayasema hayo nampongeza naningependa aendelee namsimamo huo! wao kama wanataka kujua idadi yao wajihesabu then watoe idadi yao! big up mr DHAIFU KWA HILO!
Source Habari Leo na Jambo leo
Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;
Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.
Concern
LIWALO NA LIWE

Mimi nilikuwa najiuliza kwanini ATAMKE HIVYO AKIWA MBEYA na sio Dar?.
Nikagundua Mbeya ni mkoa unaongoza kwa kuwa na makanisa na madhehebu mengi sana katika Tanzania. au wenzangu mnafikiriaje?
That must be a gvt stand, idadi ya waumini inasaidia nini zaidi ya chokochoko? waislam madrasa na shule, wakristo kanisa na shule. At the end wasomi wa kiislam wataongezeka, baadae tutabalance, kulalamikia hakutasaidia, ukweli haufutwi kwa malalamiko. Anglican diocese of Dar wanatarajia kutangaza idadi ya waumini wao baada ya kufanya sensa yao, wengine nanyi igeni msilalamike tu. wakati we unalalamika wenzako wanatake action kesho mtalalamika wenzetu wanajua idadi yao. System ya kuanzisha jumuia za nyumba kwa nyumba ni zaidi ya sensa, walianza wakatoliki waanglican wakaichungulia nao wameshaanzisha. Lalama wenzako wanasonga
Hakuna Jipya, mwisho wa ck anayetaka atashiriki na asiyetaka atakaa pembeni.
Ila binafsi sioni tatizo kuweka kipengele cha dini ktk sensa, nchi nyingi duniani zinafanya
na wala hukuna tatizo. Inaelekea kuna watu wanahofu zisizo na msingi.
Source Habari Leo na Jambo leo
Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;
Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.
Concern
LIWALO NA LIWE
Nafikiri unahitaji kufunguka zaidi na kufikiria nje ya box.
Kwani hapo rais wenu ame generalize mambo kwa mtaji wa kisiasa sio kiuchumi.
Kuwa katika idadi ya watu lakin kuna mambo muhimu kama kwa maendeleo ya kijamii mbali na kupata idadi lakin yafuatayo katika hiyo idadi ni muhimu sana.
1. Umri
2. Elimu
3. Jinsia
4. Hali ya binadamu kama Ulemavu
5. Imani zao kwani hizi zinaingia katika profile zenu za nchi yenu ikiwa pamoja na mila na desturi zenu hususan mnapovutia watalii.
mathalan tuchukulie Znz unapoandika profile unasema wazi hii ni sehemu ya waislam wengi na unataja idadi na kuwawezesha watalii wajue kuna wanakwenda islamic area na namna gani wa-behave wakiwa huko mfano katika mwezi wa ramadhani.
Suala hilo hata kwenye ndege limo naulizwa imani yako ili upewe chakula kwa mujibu wa imani yako na si vinginevyo. Nashangaa kwanini TANGANYIKA mnalipinga hilo. Mimi nafikiri kuna kitu nyuma ya pazia kwa suala hili.
Kwa hiyo ukishaweka hicho kipengele cha dini...unataka tunapotangaza migodi "Tanganyika" tuseme hii ni sehemu ya wakristo kwa wingi??? think out of the box bro!!!.
Kwa nini msiandae pesa zenu mkaesabiana?? Unafikiri kuna mtu atawabughudhi??
Wenzenu wakristo na wapagani hawajataka kujua wako wangapi??? Nyie ndo mnataka kujua...then andaeni fund yenu
Kikwete alisimamia kuingizwa kipengele cha kadhi kwenye ilani nawe unasema si mwakilishi wa dini yoyote?
Huyo simba na Bakwata si ndio hao hao waliosema watainyima CCM kura, watasusia sensa - leo wamegeula vipi? Imani huwa inageuka. Askofu akikana imani yake inambidi aenguliwe na mwingine achukue nafasi yake. Sasa mufti leo nataka kesho sitaki.
vidini vingine bana?
Hmhmmhmhmh KIKWETE ANAENDESHWA NA WANAOMUENDESHA NI KANISA SO WAISLAM KM WAILSAM TUNAIGOMEA SENSA YAO NA HIKO KIPENGERE CHA DINI WATABAKI NACHO WENYEWE,YN TOKEA UKOLONI WAISLAM NI WENG LEO HII MTU ATOKE PA KUTOKA ASEME SIE WACHACHE HAINGII AKILINI NA NDIO MAANA ILA BASI NINA HASIRA NA HII NCHI 1 DAY NITAJITOA MUHANGA NIFE NA HAO VIONGOZI WANAFKI,JWZ KWANZA.