JK names 11 new High Court judges!!!

Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Messages
10,497
Likes
3,873
Points
280
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2007
10,497 3,873 280
JK names 11 new High Court judges

2008-05-29 10:43:20
By Guardian Reporter

President Jakaya Kikwete has named 11 new judges of the High Court of Tanzania, seven of them women.A State House statement issued in Dar es Salaam yesterday said the appointments took effect on May 24.

The judges include former Court of Appeal Registrar Sophia Wambura, Crecencia William Makuru, Zainabu Goronya Muruke, Upendo Hillary Msuya, Atuganile Florida Ngwala, and Rose Aggrey Teemba.

The others are former Principal Parliamentary Draftsman Rehema Kiwanga Mkuye, advocate Kassim Nyangarika, Gabriel Kamugisa Rwakibarila, Ibrahim Sayida Mipawa, and Lawrence Kisenge Nziajose Kaduri.

The statement said the president has also named Ferdinand Leons Katipwa Wambali as Wambura`s successor at the Court of Appeal.

He was before the changes Senior Deputy Registrar at the same court.

This is the second time President Kikwete has appointed High Court judges since he assumed power in late 2005, the first time being last year when he named 20.

Announcing last year`s appointments, he said the aim was to speed up the administration of justice mainly by reducing delays in the hearing of cases that are commonly blamed on a serious shortage of judges and magistrates.

SOURCE: Guardian
 
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Likes
61
Points
145
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 61 145
Hongera mheshimiwa JK kwa kuteua wanawake zaidi. Naona wanawake wana unafuu mkubwa kwenye ufisadi.

I hope JK hajateua makada wa CCM na badala yake kateua watu wenye uwezo.

Wanaume Tanzania tumechemsha mno na huenda wakati umefika wa kuwa na rais au waziri mkuu mwanamke.
 
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,598
Likes
523
Points
280
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,598 523 280
Hongera mheshimiwa JK kwa kuteua wanawake zaidi. Naona wanawake wana unafuu mkubwa kwenye ufisadi.

I hope JK hajateua makada wa CCM na badala yake kateua watu wednye uwezo.

Wanaume Tanzania tumechemsha mno na huenda wakati umefika wa kuwa na rais au waziri mkuu mwanamke.
Really?
Naheshimu sana mchango wa wanawake katika maendeleo ya nchi yetu,ila vitendo vinavyofanywa na vyama mbalimbali vya wanawake nchini vinanipa wasiwasi juu ya hili.

Nadhani umegundua kuwa katika kila chama fulani kuna chama kingine cha wanawake ,mfano: chama cha waandishi wa habari then chama cha waandishi wa habari wanawake, chama cha madaktari then chama cha madaktari wanawake. Fuatilia uendeshwaji wa vyama hivi uone jinsi hali ilivyo.

Basically hakuna tofauti kati ya wanawake na wanaume when it comes to integrity.
 
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Messages
588
Likes
5
Points
35
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined May 15, 2008
588 5 35
Mahakama zetu zinahitaji wau competent na siyo Wanawake. Gender has absolutely nothing to do with dispensing justice. ninachokiona katika hili ni kujipendekeza kwa Rais kwa wanawake ili ionekane anawajali. Ukiangalia performance ya Wanawake katika mahakama zetu utaona ni sifuri ukiacha wachache sana. Unajaza tu namba na wale weney uwezo wa kutoa maamuzi unawaacha.

Utashangaa kuona kuwa ukiacha majaji wawili wa kike wanaotokea Mkoa wa kilimanjaro amabao wamewahi kutoa maamuzi ambayo yalitikisa serikali, wengine wote ni wasindikizaji. I think this time arround the president has made the biggest blander in his appointment kwa kuwaacha wazoefu na kukimbilia wanawake na wengine ikiwa ni katika kulinganisha idadi ya Wkristo na Waislamu! Come on... in the legal profession u cannot equate religious affiliation. Ninaamini kuwa Nyangalika na Mruke wameteuliwa kwa misingi hiyo!
 
Mtu wa Pwani

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Messages
4,125
Likes
91
Points
145
Mtu wa Pwani

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2006
4,125 91 145
jobo acha mambo yako, hivi kama huna la kusema au kuchangia si unyamaze?

wewe unataka kuleta udini katika mada hii? kama unawajua ni si competent tuchambue bila ya kutumia hisia za kidini

wewe bogus sana umenikera kweli, hivi watanzania tutaacha lini laana ii ya upuuzi?
 
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Likes
61
Points
145
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 61 145
Mahakama zetu zinahitaji wau competent na siyo Wanawake. Gender has absolutely nothing to do with dispensing justice. ninachokiona katika hili ni kujipendekeza kwa Rais kwa wanawake ili ionekane anawajali. Ukiangalia performance ya Wanawake katika mahakama zetu utaona ni sifuri ukiacha wachache sana. Unajaza tu namba na wale weney uwezo wa kutoa maamuzi unawaacha.

Utashangaa kuona kuwa ukiacha majaji wawili wa kike wanaotokea Mkoa wa kilimanjaro amabao wamewahi kutoa maamuzi ambayo yalitikisa serikali, wengine wote ni wasindikizaji. I think this time arround the president has made the biggest blander in his appointment kwa kuwaacha wazoefu na kukimbilia wanawake na wengine ikiwa ni katika kulinganisha idadi ya Wkristo na Waislamu! Come on... in the legal profession u cannot equate religious affiliation. Ninaamini kuwa Nyangalika na Mruke wameteuliwa kwa misingi hiyo!
Mkuu,

Lete data kuhusu wanawake kuwa sifuri. Nijuavyo mimi wanawake wengi wanafanya kazi vizuri na hawahusiki sana na rushwa ukilinganisha na wanaume.

Hata kwenye list of shame ya Dr. Slaa kuna mwanamke mmoja tu kati ya watu 11.
 
Alnadaby

Alnadaby

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2006
Messages
507
Likes
20
Points
0
Alnadaby

Alnadaby

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2006
507 20 0
Walioteuliwa wote wana uwezo.JK ameteua waheshimiwa hawa kwa ku umakini mkubwa na madhumuni ni kuondoa kero za kucheleweshwa kawa kesi.

Kwa kuwa kati hao 11 walioteuliwa 7 ni wanawake,hiyo ni kwa sababu wanawake ni waadilifu,there is no question about that ukifanya comparison na wanaume kwa hapa Tz.

Kuhusu kama kuna uwiano na mambo ya dini...I don't buy that.Kwani katika hao walioteuliwa wangapi ni Waislamu na wangapi ni Wakristo?
 
Kite Munganga

Kite Munganga

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2006
Messages
1,366
Likes
148
Points
160
Kite Munganga

Kite Munganga

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2006
1,366 148 160
Mmoja alikuwa wakili, lakini mambo zake sina hamu kabisaaaaaa
 
M

Mama Lao

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2007
Messages
238
Likes
0
Points
0
M

Mama Lao

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2007
238 0 0
Really?
Naheshimu sana mchango wa wanawake katika maendeleo ya nchi yetu,ila vitendo vinavyofanywa na vyama mbalimbali vya wanawake nchini vinanipa wasiwasi juu ya hili.

Nadhani umegundua kuwa katika kila chama fulani kuna chama kingine cha wanawake ,mfano: chama cha waandishi wa habari then chama cha waandishi wa habari wanawake, chama cha madaktari then chama cha madaktari wanawake. Fuatilia uendeshwaji wa vyama hivi uone jinsi hali ilivyo.

Basically hakuna tofauti kati ya wanawake na wanaume when it comes to integrity.
Tuwape nafasi hao walioteuliwa....kutumia vigezo vya NGO za wanawake kama mfano wa utendaji wa hawa Waheshimiwa wateuliwa majaji itakuwa sio haki. Ya NGO tuwaachie NGO.
Hongera sana Mh Rais kwa uteuzi huo. Wanawake tusiyumbishwe na ma skeptics tuchape kazi!
 
K

Kijunjwe

Senior Member
Joined
Mar 3, 2007
Messages
183
Likes
0
Points
33
K

Kijunjwe

Senior Member
Joined Mar 3, 2007
183 0 33
Hongera Mhe. kwa kuongeza idadi ya majaji, natumai itaongeza ufanisi wa kazi na kuongeza speed ya kutoa haki katika mahakama. Lkn kwa ndugu zangu ambao mnajua muonekano wa Mahakama, hv majaji waliopo sasa wengi wako katika umri gani? au ndio group ya watumishi wa umma watakao pukutika ifikapo 2010-05?
 
W

WildCard

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2008
Messages
7,494
Likes
104
Points
160
W

WildCard

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2008
7,494 104 160
Kwenye masuala yanayohusu TAALUMA na UADILIFU wa mtu sidhani kama mambo kama JINSIA, KABILA, DINI au UHUSIANO binafsi vinapaswa kuwa VIGEZO ama SIFA za kufanya uteuliwe!
Rais alifanya kosa hilo la kuwaamini WANAWAKE kwenye Baraza lake la kwanza la Mawaziri akawapa wizara nzito na nyeti kama vile Fedha, Katiba na Sheria, Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mambo ya Nje. Nadhani sote tu mashahidi jinsi wenzetu hawa WALIVYOPWAYA.
 
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Messages
588
Likes
5
Points
35
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined May 15, 2008
588 5 35
Naona mashambulizi yanakuja kwangu kama vile nimemwibia mtu simu mtaani! Zaibabu Mruke na Kassimu Nyangarika ndo wanasheria wakujitegemea peke yake walioteuliwa this time! Last time it was Mujuluzi and mjasiri, prior to that was Masatti, Jundu and that mama in Arusha. Hey, cant one make a conclusion? I am just pointing out that kinachofuatwa kwa sasa siyo uwezo, ni dini na jinsia. Mawakili wa kujitegemea zaidi ya saba ndani ya miaka 3 au 4 as compared to only one from the christian circle tells alot. Sina tatizo kama angewatoa katika utumishi wa umma, but from the private practice, leaves alot to be desired. Sina nia ya kuleta ubaguzi, ukitaka kuangalia uwezo wao hao walioteuliwa, linganisha na walioachwa kwa muda mrefu utajua ninachosema.
 
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Messages
588
Likes
5
Points
35
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined May 15, 2008
588 5 35
Kwenye masuala yanayohusu TAALUMA na UADILIFU wa mtu sidhani kama mambo kama JINSIA, KABILA, DINI au UHUSIANO binafsi vinapaswa kuwa VIGEZO ama SIFA za kufanya uteuliwe!
Rais alifanya kosa hilo la kuwaamini WANAWAKE kwenye Baraza lake la kwanza la Mawaziri akawapa wizara nzito na nyeti kama vile Fedha, Katiba na Sheria, Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mambo ya Nje. Nadhani sote tu mashahidi jinsi wenzetu hawa WALIVYOPWAYA.
This is exactly my point. Chagua majaji kwa uwezo wao na siyo jinsia au dini. Ninachoona kingine ni kuwa wanaume wengi hawaridhiki na mshahara unaotolewa serikalini. Imagine jaji wa Mahakama Kuu anapokea less than 1.3million kwa mwezi wakati mwenzake nchi jirani anaondoka na kitita kisichopungua milioni 12 kwa mwezi. Wanawake wengi wanavumilia haya katika ofisi za serikali kwa kutegemea kusaidiwa na waume au washikaji zao! Angalia idadi yao ilivyokubwa katiaka ualimu, uhakimu na hata uwakili wa Serikali
 
M

Mama

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2008
Messages
2,858
Likes
23
Points
0
M

Mama

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2008
2,858 23 0
ile thread ya dini si ilifungwa? huu udini dini unaanza hivi hivi na mwisho wake ni mbaya, ingekuwa vizuri kusema kuwa hao waliochaguliwa sio competent kuliko kuanza kupoint udini. Tukubaliane na technical know how sio technical know who.
 
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Messages
588
Likes
5
Points
35
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined May 15, 2008
588 5 35
ile thread ya dini si ilifungwa? huu udini dini unaanza hivi hivi na mwisho wake ni mbaya, ingekuwa vizuri kusema kuwa hao waliochaguliwa sio competent kuliko kuanza kupoint udini. Tukubaliane na technical know how sio technical know who.
Nia yangu ilikuwa ni kuonyesha kuwa alichotumia JK siyo competence, ni hayo masuala mengine ambayo sasa naogopa kuyatamka maana nitakuwa lebelled sexist au mdini.
 
M

Mama

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2008
Messages
2,858
Likes
23
Points
0
M

Mama

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2008
2,858 23 0
Nia yangu ilikuwa ni kuonyesha kuwa alichotumia JK siyo competence, ni hayo masuala mengine ambayo sasa naogopa kuyatamka maana nitakuwa lebelled sexist au mdini.
tamka tu, here people dare to talk openly, unamaanisha JK anawapendelea waislamu au wakristo?
 
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,598
Likes
523
Points
280
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,598 523 280
Tuwape nafasi hao walioteuliwa....kutumia vigezo vya NGO za wanawake kama mfano wa utendaji wa hawa Waheshimiwa wateuliwa majaji itakuwa sio haki. Ya NGO tuwaachie NGO.
Hongera sana Mh Rais kwa uteuzi huo. Wanawake tusiyumbishwe na ma skeptics tuchape kazi!

Sina wasiwasi na hawa walioteuliwa na Rais. Lazima watakuwa wameprove alot kufika hapo walipofika. Wote wanastahili pongezi.

Nilikuwa najaribu tu kuondoa hisia zilizojitokeza kwamba somehow katika professional work kuna tofauti ya uaminifu baina ya wanawake na wanaume. Hisia kama hizi ndio zilifanya wanawake wakose nafasi siku nyingi, kwa sababu ilikuwa inaaminika kuwa wanawake ni dhaifu ! Tusiziruhusu hisia hizi zitupelekeshe.
 
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Messages
588
Likes
5
Points
35
J

Jobo

JF-Expert Member
Joined May 15, 2008
588 5 35
tamka tu, here people dare to talk openly, unamaanisha JK anawapendelea waislamu au wakristo?
Jibu unalo. Inawezekana nia yake siyo kupendelea ila ni kutaka kuleta urari! Ila langu ni moja tu, usilete urari katika masuala ya haki maana kila watu wana priorities zao. Katika sheria wakristu wapo wengi and the ratio inaweza kuwa mwislamu mmoja kwa wakristo kumi (10%) sasa ukitaka kila ukiteua majaji wawemo waislamu kadhaa in almost equal proportion ni tatizo. Same with gender, ratio ni even worse!
 
B

BeNoir

Member
Joined
May 6, 2008
Messages
97
Likes
1
Points
0
B

BeNoir

Member
Joined May 6, 2008
97 1 0
Ningefurahi zaidi kama JK angewakabidhi hao majai wapya, na wale waliotangulia Laptops kila mmoja ya kwake ili tuweze kupata nakala za hukumu mapema inavyostahili.
 
Bikirembwe

Bikirembwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2008
Messages
250
Likes
2
Points
0
Bikirembwe

Bikirembwe

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2008
250 2 0
Ama kiutendaji inategemea mtu binafsi awe mwanamke au mwanamme, lakini naungana kuwa katika ufisadi kinamama ni afadhali ukilinganisha na kinababa ukiachilia Mama Mkapa ambaye tunaweza kuhesabu wake ulikuwa ugonjwa.

Tusiwahukumu kwa jinsia yao tuwape nafasi wafanye kazi na majibu tutayapata kama wanastahiki kuwa watetezi wa sheria zetu.
 
Forum statistics

Threads 1,236,765
Members 475,220
Posts 29,267,975