Jibu ni rahisi sana....watu wameichoka CCM. Yaani chama chako (ccm) sawa sawa na mavi ya mlevi wa gongo.Habari hii ingekuwa inawahusu CDM ungesikia vilio vya watu humu, ila kwa vile ni CCM wote kimya japokuwa ni habari ya uzushi. JF kwa nn tunakuwa na double standards, je watu wakisema huu mtandao ni wa CDM tutakataa? . JF imepoteza mwelekeo kabisa siku hizi .
Let's say US tries to criticize that law as being against human rights,as far as due process is concernd.which litmus test?
Men,..
am proud of you dude.
Ingawa uko CCM,haubebwi na zimwi la ushabiki.
You air the reality na sio kutoa sifa pasipo sifa.
Natamani Jk angekua na washauri kama wewe (kama ana tabia ya kusikiliza washauri
anyway,yawezekana wapo kweli lakini hafuati ushauri wao).
Tufikie mahali sasa tuangalie uhalisia wa mambo,...
huu ushabiki ushabiki wa kichadema na kiccm ufe na tuwe na
ushabiki wa kitanzania.
Big up bro.
Wana jamvi
Hapa Dodoma kimenuka. JK kafika kutoka MWZ ili kuonana na wabunge. Wabunge wa CCM wakaitwa na kuingizwa ukumbini ili kumsubiri. Awali Katibu wao Jenester Mhagama alitoa tangazo kupitia Naibu Spika kuwa wabunge wote waache simu zao wazi ili kuitwa wakihitajika.
JK aliendelea kupata briefings na kuambiwa hali ni mbaya. Akashauriwa afanye reshuffle upesi ili kupoza moto. Kama kawaida akawa mbishi, lakini pia akasita kuingia ukumbini kuonana na wabunge. Mwishowe wabunge wameambiwa waende kulala kwa sababu JK bado ana kikao na watendaji.
Kuna hatari kesho ya reshufle. Mawaziri wote matumbo moto hususan Afya, Nishati, Fedha na Ujenzi. Vijana wa TISS wamemweleza kuwa baraza zima ni kama haliko kazini isipokuwa wizara moja tu- Ya Pombe Magufuli.
Vijana wa TISS wameingia kazini kwa kasi sana usiku huu kujaribu kubadili upepo miongoni mwa wabunge.
Chanzo: Mimi mwenyewe nikiwa Dodoma mjengoni.
Edson,
hivi unadhani ni rahisi eh?
Ingekua raisi kihivo wasingekua wanatumia nguvu nyingi kuingia ikulu.
Ukiona kiongozi kaachia ngazi ujue yuko katika hali ambayo
political rivals wake wame gundua madudu yake ambayo wakiyatoa
nje basi atakuakwenye hali ngumu kweli.
Na hata hapo,hadi wa mwakikishie immunity sana tu.
Sio rahisi hivo kuachia Ikulu hivi hivi aingie mwingine.