JK na Shahada za heshima

Sasa mkwere atafahamika kama Dr. Dr. Jakaya Kikwete. Mungu ampe nini mkwere wa watu!!
 
habari za kuaminika kutoka kwa insiders chuo kikuu cha Dodoma kiko mbioni kuitwa Chuo Kikuu cha Dr. Dr. Jakaya kikwete (i.e. Dr. Dr. (H.c.) Jakaya Kikwete University (JKU))! Mnasemaje wana Jamii forums Mkulu anastahili hiyo hesima?
 
Hivi ni nani aliasisi chuo hicho mwenye kumbukumbu kamili anitonye manake nakumbuka pale palikuwa na Jengo la Kizota la CCM nakumbuka Mkapa alisema watalitoa ili pajengwe chuo kikuu kwenye CC sasa nashindwa kuelewa hiyo PHD yupi angestaili kupewa zaidi
 
Sasa mkwere atafahamika kama Dr. Dr. Jakaya Kikwete. Mungu ampe nini mkwere wa watu!!

Anataka aitwe Prof. Kikwete. Ili ale sahani moja na kina Baregu(Prof.).

Haka kajamaa kasanii kweli.

Eti kanawaza, 'yaani Prof. Mukandala nimempa mimi ulaji halafu mimi naishia kuitwa Dakta na TBC1 naenda zangu UDOM kuchukua PhD. Naitwa Dr.Dr.Mkwere'
 
Ikiitwa hivyo hicho kitakuwa chuo cha kwanza Tanzania kuwa na jina la Rais wa Tanzania ambaye hakuwa anajua kwanini nchi yake ni maskini. Hivyo kitakuwa ni chuo kinachotoa wahitimu ambao ni mbumbumbu.
 
sio mbaya chuo cha kata kupewa jina la jk
 
wasomi wa tanzania hawaoni haya kujipendekeza, angalia akina benson bana na wenzake, waulizeni wanaompa hiyo phd ni kwa jambo gani alilofanya.
 
Ikiitwa hivyo hicho kitakuwa chuo cha kwanza Tanzania kuwa na jina la Rais wa Tanzania ambaye hakuwa anajua kwanini nchi yake ni maskini. Hivyo kitakuwa ni chuo kinachotoa wahitimu ambao ni mbumbumbu.

rais anaeanguka jukwaani
 
yaanimitoto itakayosoma hapo lazima iwe mijizi tu
 
habari za kuaminika kutoka kwa insiders chuo kikuu cha Dodoma kiko mbioni kuitwa Chuo Kikuu cha Dr. Dr. Jakaya kikwete (i.e. Dr. Dr. (Hon.) Jakaya Kikwete University (JKU))! Mnasemaje wana Jamii forums Mkulu anastahili hiyo hesima?

Anastahiki kabisa
 
Kikwete na hao wapuuzi wenzie wa nyundo na jembe they are trying very hard to turn UDOM into their political base ili kuwavutia wasomi na vijana kwenye chama chao lakini wanachosahau ni kwamba CCM na usomi ni sawa na paka na panya and once an interllectual turns to Ccm politics anapoteza thamani ya elimu yake na anarudi kuwa sawa na Tambwe Hiza,Majimarefu,makamba and the like,mifano tunayo ya wasomi waliopoteza thamani yao e.g Kapuya,Maghembe etc
 
Hapa tutakuja sikia wanamwita Prof. Jakaya.
 
Dar Es salaam ni vice chancellor wa UDOM..... pia ni registrar wa kitivo cha mambo ya hovyo hovyo katika chuo kikuu cha Dodoma.... believe me...
 
JK Kwanini unapenda vilemba vya ukoka..... kwani Doctorate ni shamba au ..... sangoma ametoa masharti hayo
 

jicho lako limeona vizuri na ni li-chokonozi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…