JK na changa la macho kwa CCM DMV

JK na changa la macho kwa CCM DMV

Majungu at best, huyu na wenzake Diaspora ndani ya ukumbi waliwekwa kwenye Diaspora, hawakupiga kura kwa sababu kura zote zilipigwa kwa Mikoa na mabox ya kura yalikuwa yakigawiwa kwa mikoa, wewe hukuwepo kwenye ukumbi sasa haya majungu umeyatoa wapi? Ndio mnashusha sana hadhi ya Forums na majungu kama haya, na aliyekwambia kwamba nauli wamelipiwa na CCM ni nani huyo?

- Yaani Mkutano tu wa CCM Chama tawala mnaweweseka hivi, na wakati uchaguzi wenyewe bado, tulizeni boli hawa wamekuja kwa nauli zao kwa sababu ya mapenzi yao na CCM, huku CCM tunawaruhusu kuchukua kadi zenu si huwa mnapenda kuonekana kuwa mno a wanachama wengi nje ya nchi, kumbe Songea tu hamna mwanachama hata mmoja, ni aibu sana kwa chama chenu kukimbilia kuanzisha matawi nje wakati hapa tu bongo hamna wanachama wa kutosha, tulizeni boli msilie lie sana mambo bado haya mliyataka wenyewe, mkaligoroga sasa mlinywe sio kulia lia hapa!

- Chama cha kulia lia kila wakati kulia lia tu!!

RESPECT MUCH!!

LE MUTUZ!!

Wazungu wanasema "Life begins ata 30yrs", naona wewe umeanzia 40yrs! Pole
 
Sirudishi kadi ya chama kama NAKAAYA...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyo mdada mwenye kigauni cha kijani mbona kama vile ana kijasho cha kwapa....

Mkuu Nyani Ngabu
Upo pole na maradhi Romneysia kiboko walau leo umejitokeza jukwaani tulikuwa na wasiwasi na afya yako! Hicho si kijasho maji alijimwagia kwa bahati mbaya; Eliza alirudi CCM jioni ileile baada ya kugundua usanii wa Chadema; hapo hakuna cha ajabu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
jamani si wanatumia ile mbinu yao ya mamluki hata kwenye chaguzi zao kwani tatizo nini?
 
Nafikiri mwanzisha mada una CHUKI binafsi na huyo bint.

Labda nikuulize kwa ufahamu wako
1. Je mtu kuwa au kumiliki kadi mbili au tatu za vyama tofauti (Mf CCM, CUF na Chadema) wewe unavyofikiri no KOSA KISHARIA HUKO Tanzania?

kama utapata jibu hapo basi utajigundua kosa lako katika mada yako.

Pole sana
 
Mambo ya huku nchini kwetu tuachie sisi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mambo ya huku nchini kwetu tuachie sisi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mbona suala rahisi sana kwako.

Labda nikurahisishie zaidi.

Kwani kumiliki zaidi ya kadi moja za vyama va siasa huko Tz ni kosa kisharia?
 
Nafikiri mwanzisha mada una CHUKI binafsi na huyo bint.

Labda nikuulize kwa ufahamu wako
1. Je mtu kuwa au kumiliki kadi mbili au tatu za vyama tofauti (Mf CCM, CUF na Chadema) wewe unavyofikiri no KOSA KISHARIA HUKO Tanzania?

kama utapata jibu hapo basi utajigundua kosa lako katika mada yako.

Pole sana

Tanzania haiongozwi kwa sharia bali kwa sheria!
 
Nafikiri mwanzisha mada una CHUKI binafsi na huyo bint.

Labda nikuulize kwa ufahamu wako
1. Je mtu kuwa au kumiliki kadi mbili au tatu za vyama tofauti (Mf CCM, CUF na Chadema) wewe unavyofikiri no KOSA KISHARIA HUKO Tanzania?

kama utapata jibu hapo basi utajigundua kosa lako katika mada yako.

Pole sana

Inawezekana huko uliko ni sahihi kabisa na ulichokizungumzia. Kwa Tanzania inawezekana kabisa kuwa si kosa kisheria, but what are you trying to achieve ethically? Mtu wa namna hii ukimpa madaraka yoyote yale katika ngazi yoyote ile unafikiri kwenye mind yake atakuwa anafikiria nini zaidi ya sabotage? My point; SIMAMA UHESABIWE.
 
Wazungu wanasema "Life begins ata 30yrs", naona wewe umeanzia 40yrs! Pole
- ha! ha! ha! ha! it means ujumbe umefika that is all I could ask kutoka kwa Great thinker, ingawa unaweza kufungua thread ya kuhusu miaka ya kuanza maisha maana it has nothing to na this topic ya wajumbe wa CCM toka DMV! ha! ha! ha! - Unajua inatisha sana Great Thinker anapoamua kwa makusudi kujiingiza kwenye majungu, ukweli ni kwamba kwenye Mkutano wa CCM Dodoma hakukuwa na Mkoa wa Diaspora kwa hiyo hakuna Diaspora aliyepiga kura, na by the way mimi ni mpiga kura kwa sababu ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM so nilipiga kura!! RESPECT! lE mUTUZ!
 
Majungu at best, huyu na wenzake Diaspora ndani ya ukumbi waliwekwa kwenye Diaspora, hawakupiga kura kwa sababu kura zote zilipigwa kwa Mikoa na mabox ya kura yalikuwa yakigawiwa kwa mikoa, wewe hukuwepo kwenye ukumbi sasa haya majungu umeyatoa wapi? Ndio mnashusha sana hadhi ya Forums na majungu kama haya, na aliyekwambia kwamba nauli wamelipiwa na CCM ni nani huyo?

- Yaani Mkutano tu wa CCM Chama tawala mnaweweseka hivi, na wakati uchaguzi wenyewe bado, tulizeni boli hawa wamekuja kwa nauli zao kwa sababu ya mapenzi yao na CCM, huku CCM tunawaruhusu kuchukua kadi zenu si huwa mnapenda kuonekana kuwa mno a wanachama wengi nje ya nchi, kumbe Songea tu hamna mwanachama hata mmoja, ni aibu sana kwa chama chenu kukimbilia kuanzisha matawi nje wakati hapa tu bongo hamna wanachama wa kutosha, tulizeni boli msilie lie sana mambo bado haya mliyataka wenyewe, mkaligoroga sasa mlinywe sio kulia lia hapa!

- Chama cha kulia lia kila wakati kulia lia tu!!

RESPECT MUCH!!

LE MUTUZ!!

LoTotoz, unashusha hadhi ya JF !
Majungu gani wakati picha unaziona?

Peopleeeeeeeeee !! Powerrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
Majungu at best, huyu na wenzake Diaspora ndani ya ukumbi waliwekwa kwenye Diaspora, hawakupiga kura kwa sababu kura zote zilipigwa kwa Mikoa na mabox ya kura yalikuwa yakigawiwa kwa mikoa, wewe hukuwepo kwenye ukumbi sasa haya majungu umeyatoa wapi? Ndio mnashusha sana hadhi ya Forums na majungu kama haya, na aliyekwambia kwamba nauli wamelipiwa na CCM ni nani huyo?

- Yaani Mkutano tu wa CCM Chama tawala mnaweweseka hivi, na wakati uchaguzi wenyewe bado, tulizeni boli hawa wamekuja kwa nauli zao kwa sababu ya mapenzi yao na CCM, huku CCM tunawaruhusu kuchukua kadi zenu si huwa mnapenda kuonekana kuwa mno a wanachama wengi nje ya nchi, kumbe Songea tu hamna mwanachama hata mmoja, ni aibu sana kwa chama chenu kukimbilia kuanzisha matawi nje wakati hapa tu bongo hamna wanachama wa kutosha, tulizeni boli msilie lie sana mambo bado haya mliyataka wenyewe, mkaligoroga sasa mlinywe sio kulia lia hapa!

- Chama cha kulia lia kila wakati kulia lia tu!!

RESPECT MUCH!!

LE MUTUZ!!

Mkuu naona leo umejitahidi kujizuian kutaja jina, though umelitaja Indirectly (CDM)
Vp Maza, Maumivu ya UWCCMTZ Yameshapoa
 
- ha! ha! ha! ha! it means ujumbe umefika that is all I could ask kutoka kwa Great thinker, ingawa unaweza kufungua thread ya kuhusu miaka ya kuanza maisha maana it has nothing to na this topic ya wajumbe wa CCM toka DMV! ha! ha! ha! - Unajua inatisha sana Great Thinker anapoamua kwa makusudi kujiingiza kwenye majungu, ukweli ni kwamba kwenye Mkutano wa CCM Dodoma hakukuwa na Mkoa wa Diaspora kwa hiyo hakuna Diaspora aliyepiga kura, na by the way mimi ni mpiga kura kwa sababu ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM so nilipiga kura!! RESPECT! lE mUTUZ!

Mkuu Nasikia hata UWCCMTZ Pia ulitaka kwenda kupiga kura
 
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna mmojawapo wa viongozi/wawakilishi wa CCM aitwaye Eliza Luhanga kutoka Marekani DMV karushwa toka maelfu ya kilomita kupiga kura pale Dodoma kwenye uchaguzi wa CCM wakati huo huo akiwa ni mwanachama wa chama cha upinzani nchini.

JK naye kaingizwa King kuandaa chakula kwa ajili ya hao wawakilishi wakati wengine walishaukana uraia wetu huku wakiruhusiwa kupiga kura kwenye uchaguzi huo. Sasa hii ndiyo demokrasia au watu wanatafuta nafasi za kuchomokea au ndo changa la macho.

Ni lini Eliza karudisha kadi ya CHADEMA au safari ilikuwa ni kwa ajili ya shughuli maalum? You can't be two places at the same time.
Je hapo Dodoma walikuwepo watu wangapi wa namna hii na wakaruhusiwa kupiga kura?

photo+%281%29.JPG

IMG_1244.JPG

attachment.php

attachment.php

attachment.php

HAPO Ndio UNAJUA UZEMBE na UTUMIAJI OVYO OVYO wa PESA za WALIPA KODI wa TANZANIA...
CCM no AUDIT na kwasababu wanaendesha SERIKALI hawasemi wanapata WAPI PESA

NDIO nilivyosema na kupingwa; TICKET ZILIKUWA KIBAO kwa WaDMV Wanapigia SIMU WATU eeh UNATAKA KWENDA BONGO kuna FREE ROUND TRIP AIR TICKET...

Ndio hapo Walibeba watu kibao wasio CCM wengi ni HIYO FREE TRIP BACK HOME an Watalipwa MARUPURUPU wakiwa DODOMA halafu baada ya MKUTANO unaenda kwenu KUSALIMIA na kutulia...

NCHI YA CCM HIYO!!! Sasa MCHEMBA akitaka kufukuza WANACHAMA waliohonga; SIJUI ni NANI AMETUMA TICKETS toka CCM NCHINI...
 
[FONT=lucida
console]Ni jambo la kushangaza kuwa kuna
mmojawapo wa viongozi/wawakilishi wa CCM aitwaye Eliza Luhanga kutoka
Marekani DMV karushwa toka maelfu ya kilomita kupiga kura pale Dodoma
kwenye uchaguzi wa CCM wakati huo huo akiwa ni mwanachama wa chama cha
upinzani nchini.

JK naye kaingizwa King kuandaa chakula kwa ajili ya hao wawakilishi
wakati wengine walishaukana uraia wetu huku wakiruhusiwa kupiga kura
kwenye uchaguzi huo. Sasa hii ndiyo demokrasia au watu wanatafuta nafasi
za kuchomokea au ndo changa la macho.

Ni lini Eliza karudisha kadi ya CHADEMA au safari ilikuwa ni kwa ajili
ya shughuli maalum? You can't be two places at the same time.
Je hapo Dodoma walikuwepo watu wangapi wa namna hii na
wakaruhusiwa kupiga kura?

[/FONT][FONT=courier

new]
photo+%281%29.JPG
[/FONT]
[FONT=lucida

console]

[/FONT]
IMG_1244.JPG
[FONT=lucida

console]

[/FONT]
attachment.php

attachment.php

[FONT=lucida

console]

[/FONT]

attachment.php

Ndio CDM
mjue kwamba wanachama wenu wengi ni mamluki na mapandikizi, kwa hali
hiyo msitarajie ushindi 2015
 
Majungu at best, huyu na wenzake Diaspora ndani ya ukumbi waliwekwa kwenye Diaspora, hawakupiga kura kwa sababu kura zote zilipigwa kwa Mikoa na mabox ya kura yalikuwa yakigawiwa kwa mikoa, wewe hukuwepo kwenye ukumbi sasa haya majungu umeyatoa wapi? Ndio mnashusha sana hadhi ya Forums na majungu kama haya, na aliyekwambia kwamba nauli wamelipiwa na CCM ni nani huyo?

- Yaani Mkutano tu wa CCM Chama tawala mnaweweseka hivi, na wakati uchaguzi wenyewe bado, tulizeni boli hawa wamekuja kwa nauli zao kwa sababu ya mapenzi yao na CCM, huku CCM tunawaruhusu kuchukua kadi zenu si huwa mnapenda kuonekana kuwa mno a wanachama wengi nje ya nchi, kumbe Songea tu hamna mwanachama hata mmoja, ni aibu sana kwa chama chenu kukimbilia kuanzisha matawi nje wakati hapa tu bongo hamna wanachama wa kutosha, tulizeni boli msilie lie sana mambo bado haya mliyataka wenyewe, mkaligoroga sasa mlinywe sio kulia lia hapa!

- Chama cha kulia lia kila wakati kulia lia tu!!

RESPECT MUCH!! LE MUTUZ!!

Hivi huyu MTU MZIMA ana tofauti gani na Livingstone Lusinde? Inabidi kufanya ka longitudinal study kujua huko MTERA DODOMA watu wana matatizo gani huko up stairs!
 
- Picha ipi inayoonyesha Eliza akipiga kura? au na wewe hujielewi mtu?

Le Mutuz!!

sisi wanachadema tuna usemi wetu unasema "KULA CCM, KURA CHADEMA". umeona inavyo fanya kazi? chezeya chedema weye!?
 
Back
Top Bottom