JK na changa la macho kwa CCM DMV

JK na changa la macho kwa CCM DMV

1. Dada katikati, mwenyekiti kama sikosei na weupe huo unaotisha kulikoni? au ndo mambo ya mikororogo?
2. huyu dada kama sikosei ndo yule anayejidai kutunza mali za rais marekani? niliona thredi kama hiyo hapa jukwaani nazani wiki jana.
3. CCM inakufa inapofika hatua ya kuleta watu tena kwa gharama kubwa ili tu kupigi kura.
 
uwazi.jpg
watu kwa kupekenyua hamjambo.... mnapekenyua hadi vya nyuma kabisa
 
hata mimi ningekuwa na chama cha siasa ningemshikisha kadi binti
 
1. Dada katikati, mwenyekiti kama sikosei na weupe huo unaotisha kulikoni? au ndo mambo ya mikororogo?
2. huyu dada kama sikosei ndo yule anayejidai kutunza mali za rais marekani? niliona thredi kama hiyo hapa jukwaani nazani wiki jana.
3. CCM inakufa inapofika hatua ya kuleta watu tena kwa gharama kubwa ili tu kupigi kura.

wao ni natural sio mkorogo. Muulize jirani yao jasusi
 
Hivi Mzee Malecela ana mtoto mwingine wa kiume au ni huyu huyu William tu, Namuhurumia sana Mzee wa watu kama hana kijana mwingine wa kiume.
 
Back
Top Bottom