LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Habari nilizonazo ni kwamba ameshatua anga hizo tayari!
source! Ni jamaa wa karibu na msafara wake!
source! Ni jamaa wa karibu na msafara wake!
Tumsaidie Rais wetu ndo maana ana watendaji chini yake, na ili kujua kinachofanyika kwenye nchi yake alimuagiza CAG kukagua matumizi ya serikali yake. Matokeo mmeyaona. Hongera sana Rais wetu zidi kuwaumbua Mafisadi usiangalie sura.Mkuu BAK,
Nnji hii tatizo ni KIKWETE.Jiulize tu amebadili baraza la mawaziri mara ngapi? Ina maana mara zote hizo anawapata watu Ma bogus?
Tatizo la Tanzania wasomi wengi hawako kwenye siasa, ndiyo maana JK na maraisi waliopita wanapata shida sana kuchaguwa viongozi, walioko CCM siyo wasomi ni wezi tuuu..
Halafu yeye being who is marafiki zake nao wa karibu siyo wasomi kihivyo hao anaowapa ulaji, kwa hiyo mambo ni mpwetempwete tuuuuuuuuu
Mkuu, hata ungekuwa wewe ndio JK ungesifiwa hivyohivyo. Aliyeishika ngoma kubwa ndiye mwenye sifa zaidi ngomani. Kule kwetu ukwereni ndivyo tunavyoamini.
hakuna baraza la mawaziri amewahi kuunda ni baraza la washukaji tuu, yeye jk hana tatizo ila yeye mwenyewe ni tatizo!!Mkuu BAK,
Nnji hii tatizo ni KIKWETE.Jiulize tu amebadili baraza la mawaziri mara ngapi? Ina maana mara zote hizo anawapata watu Ma bogus?
Mkuu BAK,
Nnji hii tatizo ni KIKWETE.Jiulize tu amebadili baraza la mawaziri mara ngapi? Ina maana mara zote hizo anawapata watu Ma bogus?
Tumsaidie Rais wetu ndo maana ana watendaji chini yake, na ili kujua kinachofanyika kwenye nchi yake alimuagiza CAG kukagua matumizi ya serikali yake. Matokeo mmeyaona. Hongera sana Rais wetu zidi kuwaumbua Mafisadi usiangalie sura.
Munaharibu kwa kuacha mada. Tutarajie nini? Je, atabadili baraza ama atalivunja? Kuvunja ni hatari kwake maana PM atakayemchagua atahitaji kura za wabunge, na upepo si mzuri ndani ya Bunge, akikosa ni hatari.
Nashangaa watu wanamsifia nini huyu mtu. Yeye ndiye kawachagua hao watu, yeye ndiye serikali yake imeonyesha udhaifu wa ajabu. Cha ajabu mambo yanapokuwa mabaya, anajifanya yeye kama outsider! JK is not going to be the solution to our problems, because he "himself" is part and parcel of the major problem.