JK, Mukama watua Dodoma, utata mtupu mawaziri 8

JK, Mukama watua Dodoma, utata mtupu mawaziri 8

Anaenda Dom kufanya nini? Alikuwa wapi miaka yote kuushughulikia utendaji mbovu wa Baraza lake la Mawaziri? Kazi imemshinda maana ameshindwa kwa miaka chungu nzima kuwawajibisha Mawaziri wake hadi Wabunge wa Magamba walipoona umuhimu wa kufanya hivyo....Arudi Ikulu tu kufunga virago vyake kisha kulitangazia Taifa kwamba kazi ya kuongoza nchi imemshinda hivyo anaachia ngazi ili kupisha Serikali ya muda.

Wamalawi kilio chao Mungu alikisikia akawaondolea jinamizi la Bingu wamthalika. Hata jinamizi la huyu muuza sura ambaye amejificha kwenye kichaka cha udini Mungu atatondolea tu! yuko wapi Gadaffi? yuko wapi Mbaraki? yuko wapi aliyekuwa raisi wa Tunisia? yuko wapi bagbo? ninaona kalenda inayapanga wambo kwenye stage, na huyu muuza sura ataondoka mda si mrefu. Si kwa uwezo wa Chadema wala wa wanaccm wenzake bali kwa uweza ulio juu sana
 
awe makini kwenye maamuzi yake azingatia CDM kuzunguka nchi nzima kueneza uozo wake na ccm yake ambayo itazidi kumshusha hadhi na kuipolomosha ccm
 
kwa mjibu wa PM via TBC habari kamili tutaipata J3 tuwe wavumilivu wakuu
 
awe makini kwenye maamuzi yake azingatia CDM kuzunguka nchi nzima kueneza uozo wake na ccm yake ambayo itazidi kumshusha hadhi na kuipolomosha ccm
maamuzi yapi?>?? sidhani kama jamaa anauwezo wa kufanya maamuzi yoyote makubwa

Hiyo ndio ishapita mkuu, he has never made any tough decision zaidi ya kwenda kazini
 
JK ni nyoka wa ngomani,hang'ati. Go to hell...

ooohh my goodness!!!!!!!! man umenikumbusha mbali,umenikumbusha chatu ambao kikundi fulani cha ngoma,KIBISA,walikuwa wakizurura nao mitaani kwetu uswahilini ahahahahahah ni nyoka pekee ambaye niwewahi kumgusa,simply harmless!!! you made my evening.

 
Kila Mtu ANATAKA MABADILIKO na kila mtu ni mjanja mjanja HATAKI MAUMIVU YANAYOENDANA NA MABDILIKO hayo ... That is a big JOKE isn't it?
 
Nashangaa watu wanamsifia nini huyu mtu. Yeye ndiye kawachagua hao watu, yeye ndiye serikali yake imeonyesha udhaifu wa ajabu. Cha ajabu mambo yanapokuwa mabaya, anajifanya yeye kama outsider! JK is not going to be the solution to our problems, because he "himself" is part and parcel of the major problem.

true, rais Kikwete ndo source ya matatizo yote, udhaifu katika serikali yake ni mkubwa mno.. kodi tunalipa kumbe zote zinaishia mikononi mwa walafi!! inauma sana...
 
Tumsaidie Rais wetu ndo maana ana watendaji chini yake, na ili kujua kinachofanyika kwenye nchi yake alimuagiza CAG kukagua matumizi ya serikali yake. Matokeo mmeyaona. Hongera sana Rais wetu zidi kuwaumbua Mafisadi usiangalie sura.

Wale wale! Hivi nyie watu mtajifunza lini kuwa propaganda hazifanyi kazi tena kwenye mazingira ya leo???
Eti "hongera raisi wetu"! Kwa lipi apongezwe, kuteuwa na kulinda wezi?
 
mleta thread lengo lako ni nini? mbona uko muongo sana? jk yuko dodoma?..huyu aliyepo hapa magogoni ni msukule au..acheni kupotosha watu
 
hana jipya huyu,kama nilivyosema wakati anaapishwa jamaa hawezi maliza miaka mitano yake ya second term.mtakuja niambia.

Hilo la m.k.w.ere kutofika 2015 ndio sala yangu kila nikiamka na kabla ya kulala!
 
Asambaratishe barazz lote la mawaziri aunde jilya. Hiyo itamsaidia. Aache wachache wasafi km wapo basi.
 
Back
Top Bottom