JK, Mukama watua Dodoma, utata mtupu mawaziri 8

Naam Mkuu tuliandika sana hapa kabla ya uchaguzi wa 2010 na ushahidi uliwekwa wa kutosha tu kuonyesha kwanini msanii Kikwete hakustahili kuendelea kuwa Rais wa nchi yetu lakini magamba wakapuuza na katika uchaguzi mkuu ule ambao mimi naamini kabisa kwamba mshindi halali alikuwa ni Dr Slaa, magamba walitumia kitengo chao cha uchaguzi (Tume ya uchaguzi) na vyombo vya dola kuchakachua matokeo ya Urais na pia matokeo ya Ubunge katika majimbo mengi nchini.

KIKWETE ni tatizo kubwa hapa TANZANIA.One time Dr Slaa alisema mkimchagua JK mnachagua janga la kitaifa kwa miaka mitano.Jamaa ni Mbishi,hashauriki.Anafanya kile anachoamini na anachoona kinafaa.Jamaa anaendeleza urafiki kazini pia ana visasi.

Hebu just thinking,Kulikua na sababu gani ya kuchelewa kubadili baraza la Mawaziri baada ya Mgomo wa madaktari,angetumia wakati huo kuwaondoa Mponda na wenzake wasioweza kazi.Yeye anakaa kuwatetea ati ooh,ni mgeni wizarani.May be alikua anamsubiri Asharose

Katiba yetu tuliyonayo pia inatugharimu,Rais ana madaraka ya Kifalme kama sio kidikteta.KIKWETE anashindwa kuwa mkali kwa watendaji chini yake,kutokuwa mkali huko kunaweza kuwa ana maslahi anayoyapata kutoka kwao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Napendekeza tumshauri Rais ni mawaziri gani wangemfaa?

Tukianzia na waziri wa

1. Fedha
2. Uchukuzi
3. Afya
4. nk
 
hana jipya huyu,kama nilivyosema wakati anaapishwa jamaa hawezi maliza miaka mitano yake ya second term.mtakuja niambia.
 
jk hana lolote.....
ndiyo kikwazo cha mapinduzi ya haraka,lakini ndiye atawasaidia cdm kufanya mapinduzi makubwa kwa cdm kwa kuyapeleka madudu ya gvt ya ccm kwa wananchi nakuyachambua yote kwa makini nakupiga chini hizi kondoo za ccm 2015 au hata kabla ya 2015.
 
kishikajishikaji tu sasa ataisoma japo kimyakimya...usanii ata kwenye mambo magumu
 
am not expecting anything labda siasa tu, he tends to pour cold anywhere he goes!!!

Cha msingi hapa ni kwamba aliyebeba mamlaka ya nchi hii anajihisi mithili ya mtu aliyejitwika mzigo kichwa kwa umbali wa kilometa 5,zikibaki kilometa 2 anatamani kubwa chini.
 
Napendekeza tumshauri Rais ni mawaziri gani wangemfaa?

Tukianzia na waziri wa

1. Fedha
2. Uchukuzi
3. Afya
4. nk
Kikwete huwa hasikii ushauri wa mtu yeyote zaidi ya R1 na mama Salma. Unapoteza muda wako kutoa ushauri mkuu.
 
Kisiasa kweli ni kamari kujiuzulu ama kutojiuzulu. Inaweza kuwa salama kwa CCM kwa kuwatosa mawaziri wake wanane, lakini inaweza kuwa balaa kwa kuwatosa mawaziri hao, hasa kwa wale ambao hawana hatia. Hii ni kipimo cha ushupavu wa uongozi, na hasa kipimo cha watu wetu wa Usalama wa Taifa na washauri wa viongozi wetu.
 
hapo ngoma itamgharimu jk kwan alitakiwa kujaribu kuzuia zaid ya miez nane iliyopita kwa kutoa wafu ktk baraza lake
 
Back
Top Bottom