JK, Mukama watua Dodoma, utata mtupu mawaziri 8

Inabidi afanye maamuzi ya busara sana kwa sababu akibaranganya tu yeye mwenyewe atakuwa amejimaliza. Chami,mponda ,mkulo na yule mcheza ndombolo lazima waondoke
 
He is a good for nothing presida. Amekalia kusafiri tu. Inaelekea utotoni mwake hajawahi kupanda gari kamwe, achilia mbali ndege.sasa mara nyingi kama kuna jambo umelivuka kulifanya utotoni, basi ujue ukubwani utalifanya alafu utaonekana kiazi mno, kama alivyo kiazi rais wetu. Yeye kila kukicha ni safari tu, haziishi mpaka ahakikishe mfuko wa watanzania umekauka. Ni lini tutampata rais kama nyerere atakayekuwa anatembelea watu, na isitoshe kujiunga nao katika shughuli za ujenzi wa taifa kama ilivyokuwa kwa baba wa taifa.

Naomba mungu historia ijirudie tupate rais kama nyerere. He is our legend.
 
Mi nadhani wasipojiuzuru si mbaya kwa kuwa kodi yetu ni mali ya viongozi,kama kweli wabunge wa ccm wana nia njema na nchi hii na kama wanataka kuiwajibisha serikali,wamtafute zito ili waongeze saini ktk ile karatasi maalum na kama vile haitoshi wahakikishe kuwa vote of no confidence kwa pm itapgwa ama kwa kuomba kuitisha kikao cha dharura au ktk bunge la budget,wahakikishe wanapiga kura hiyo lakini kwa kuanzia wakasaini.uzalendo ni kusimamia haki na utawala bora,na sio kukubali kuchezewa kama hivi.Twataka kuona mihimili yetu ikiheshimiana na si dharau kama wanayoonesha sasa.nashauri wabunge wasisitize after 14days kuwe na bunge la dharura ili kura ya kutokuwa na imani na wm ipigwe mara moja.vinginevyo wakubali kuwa wanatenda kwa maslahi ya hao wanaowaogopa na sisi wananchi.
 
Hapo dini au uswahiba au kutojua nini kitachitokeza baada au nini kinaendelea?
 
Waelewa wazur ni wale wanaojadili mada inayo hang na sio kuhamia mada nyngne,inatakiwa 2faham J.k kaenda fanza nin na tusiwe watu wa kutoa lawama kama kiongoz wa nchi ni lazma aweke mambo sawa amekubaliana na halì hiyo na amewapa ushirikiano mkubwa
 
Ndiyo marupurupu ya kuwa na rais mshirikina! Kikwete hawezi kutenda kinyume na masharti ya mizindiko ya Sheikh Yahya. Anajua ni sharti atajirike sana kwa njia za kifisadi! Na kwa jinsi hiyo ni marufuku kwake kufukuza mtu yeyote kwa sababu za ufisadi! La sivyo ataanza kuanguka tena kifafa hadharani!
 
Back
Top Bottom