aliyeongelea suala la medical checkup..je ni kwenda kuchekiwa au ni kwenda ku......... kuna tofauti ya kuchekiwa na kujulikana kuwa waumwa kitu flani so ukienda hospitali wafuata tiba tuu na sio kuchekiwa tenaaa
Ukweli wa mambo ni kwamba JK kwenda Rome ama Holy Sea ni kujibu tuhuma za udini ambao aliingia nao madarakani kwa teuzi zake . Habari toka Holy Sea zinasema kwamba Kanisa liliona hatua za makusudi za JK na teuzi zake za udini na ahadi yake ya Mahakama ya Waislam .Sasa aliitwa muda mrefu sana na sasa anaenda kujibu hili kwa kuwa Kanisa lilimkubalia kuwa Rais wa Watanzania na si washikaji na watu wa upande mmoja na madaraka .

Hamna cha kushangaza wajameni mbona kaalikwa tu na waziri mkuu wa Italy, na offcourse ni moja ya majukumu ya rais kujega mahusiano mema na nchi nyingine diniani kote,sasa cha kushangaza ni nini?Habari ni kwamba. JK anaondoka leo kwenda Ufaransa. atafanya ziara huko na pia kabla ya kurudi nyumbani, atakwenda kuonana na PAPA Benedict.
Habari zaidi zitawajia baadaye
... Enzi za JK Nyerere tuliwapokea 'vigogo' kama; Queen Elizabeth, Indira Gandhi, Pope John Paul nk, zama hizi 'madhali hawaji', bora rais awafuate huko huko!
Pengine hii safari itamwamsha kidogo, kwani Papa atampatia Biblia ili aisome anaweza kuanza kuwashughulikia mabaradhuli. Wajuzi mchagulieni aanze kusoma waraka upi?
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia nyama katika moja ya maduka ya kuuzia kitoweo hicho cha Ng'ombe lililopo katika soko la Buguruni jijini Dar es Salaam Septemba 17, 2007. Dk Shei yupo katika ziara ya siku tatu kukagua hali ya vyakula na bei katika masoko jijini humo.
Picha kwa hisani ya Father Kidevu
Pengine hii safari itamwamsha kidogo, kwani Papa atampatia Biblia ili aisome anaweza kuanza kuwashughulikia mabaradhuli. Wajuzi mchagulieni aanze kusoma waraka upi?