Kiukweli hakutakiwa kumteuwa kuwa mkuu wa Wilaya wala Mkoa kwa sababu wanachi walimwamini wakampa ubunge, raisi akamwamini pia akampa uwaziri lakini hakuonyesha juhudi ya utendaji kazi na wananchi wakakosa imani nae tena kwa nguvu ya pamoja wakambwaga sasa huyo huyo ambae wananchi hawana imani nae tena anateuliwa awatumikie wananchi unategemea nini hapo.
tuikumbuke na skendo yake ya vitambulisho vya uraia,
Kiukweli hatumtaki kabisa kwani yupo peke yake TZ hii