JK kumpooza Masha na cheo gani?

JK kumpooza Masha na cheo gani?

Akiwateua hao kwa nafasi yoyote ile atakuwa kawadharau watanzania sana.
Hivi hamumjui JK atawarudisha wote hao! mbona alishasema kuwa EL ni mtu mzuri sana! hapo ndio ujue hamnazo huyu jamaa!:sorry::boink:
 
kwani ni lazima huyo masha apata cheo katika serikali ya tanzania, who is he hata atukoseshe usingizi, anyway JK atamfikiria kama atatoka salama huko hosp alikolazwa!!! huenda akampa ubalozi ili angalau akaitumikie elimu yake aliyoipata uingeletha:smile-big:
Huyu jamaa ni graduate wa Uingereza? hawa ndio wale watu Nyerere alikuwa anasema umechangiwa chakula chote kilichoko kijijini ili uende safari ya mbali kuleta chakula kwa ajili ya wanakijiji wako. Huyu kauza watu wake, yaani hebu angalia ile clip yake aliyokuwa anasema amepita bila kupingwa .................... kweli alikuwa amelewa madaraka. Kama JK atampa kitu, itabidi iwe hapohapo bongo ile aendelee kumtafutia hao wanawake ili waendeleze ufirauni wao ............ he just make me sick ...
 
Hivi hamumjui JK atawarudisha wote hao! mbona alishasema kuwa EL ni mtu mzuri sana! hapo ndio ujue hamnazo huyu jamaa!:sorry::boink:

Nakwambia hata wasiosafishika wanasafishwa .............. na EL anarudi ........ you watch and see ......:yield:
 
Nakwambia hata wasiosafishika wanasafishwa .............. na EL anarudi ........ you watch and see ......:yield:

Its a ruling party legacy not an opposition legacy!
 
kesha ahidiwa ubalozi kwa Obama alikosoma na kukulia, na trip za huko zitazidi kuwa shwari ki-fweza
 
kesha ahidiwa ubalozi kwa Obama alikosoma na kukulia, na trip za huko zitazidi kuwa shwari ki-fweza

Kwani lazima afanye kazi serilalini? Yeye bado ni patna wa ile law firm yao kwa hiyo atarudi huko kendeleza libeneke. Hawezi kuishi nje ya nchi kwa kuwa ameshazoea raha za Bongo.
 
JK hashindiwi kurudisha kama aliweza kumsimamisha Mramba na kuwaambia wananchi kuwa huyu ni mtu safi yaliyo pita sio dwele tugange yajayo halafu wananchi wakamwajibisha kwa kumuondoa kwa nguvu ya kura sasa unafikri JK atashindwa kumpa cha kumpoza MASHA mimi kwakeli sita shangaa Masha kupewa chochote.
 
Kweli JK sikio la kufa....habari hii ni ya uhakika LAU MASHA yuko kwenye list ya wakuu wa mikoa wapya wanaotarajiwa kutangazwa kesho na kapewa Mkoa mpya wa shimiu...

Msibishe wala msinishushue kesho mtaona..
 
sio jambo la kushangaza tulisha mzoea mkulu wetu kuwa yeye ni mtu wa mambo yaleyale
 
Kweli JK sikio la kufa....habari hii ni ya uhakika LAU MASHA yuko kwenye list ya wakuu wa mikoa wapya wanaotarajiwa kutangazwa kesho na kapewa wilaya ya shimiu...

Msibishe wala msinishushue kesho mtaona..

Mbona umechanganya, mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya, angalia hiyo red!!!. Si unakumbuka pale Lumumba alisema watakao kosa ubunge watagawana nafasi nyingine serikalini, anatekeleza ahadi zake na chama chake.
 
Kweli JK sikio la kufa....habari hii ni ya uhakika LAU MASHA yuko kwenye list ya wakuu wa mikoa wapya wanaotarajiwa kutangazwa kesho na kapewa wilaya ya shimiu...

Msibishe wala msinishushue kesho mtaona..

Hapo kwenye red...?
Mwaga list hapo tuone.
 
Hapo kwenye red...?
Mwaga list hapo tuone.

watani kolimba bana...niko kwenye jopo la kuweka itifaki za kutangaza kifo cha Dr.Balele ndo nyeti zinazagaa hapa....Bugando ni restricted zone as iam speaking to you .Nchi hii bana yaani wanaficha ficha vitu as if wanataka kumtoa mwali
 
Wakuu mlitaka amchague nani mridhike? Mpeni pmzi mzee apange timu anyoiona itamsadia kutekeleza majukmu kwa kipindi hiki cha pili cha awamu ya 4.
 
Wakuu mlitaka amchague nani mridhike? Mpeni pmzi mzee apange timu anyoiona itamsadia kutekeleza majukmu kwa kipindi hiki cha pili cha awamu ya 4.

kama kawaida umetumwa....join data 1st March 2011 ,number of posts 2...hahaaaaaa
 
watani kolimba bana...niko kwenye jopo la kuweka itifaki za kutangaza kifo cha Dr.Balele ndo nyeti zinazagaa hapa....Bugando ni restricted zone as iam speaking to you .Nchi hii bana yaani wanaficha ficha vitu as if wanataka kumtoa mwali
Chezo hizi ni taarifa za kweli kwamba Balele hatunaye tena?
 
Chezo hizi ni taarifa za kweli kwamba Balele hatunaye tena?

mkuu count on me..sibahatishi..niko Bugando natoa nyeti hizi live...anayebisha angoje kesho kitakachoongelewa na makamu wa rais
 
Lau - Kati ya vijana wahuni, wajinga nisiowapenda kabisa.
 
kama kawaida umetumwa....join data 1st March 2011 ,number of posts 2...hahaaaaaa

Kama huyo katumwa kwa kuwa kajiunga na jina hilo juzi,, mbona nawe huna miezi 3 humu kwa "Chezo"? Na wewe umetumwa?? Mtu ameuliza swali zuri tu, mlitaka amchague nani mridhike? wewe unadandia treni kwa mbele ati umetumwa?? Nataka nikujulishe tu kwa faida yako na wenzako wa fikra za majitaka kama hizo kwamba, watu humu wamo long time kwa names tofauti. Wengine tangu enzi za Nyenzi.com (sina hakika hata kama unaijua) baadaye wakahamia humu. Na wala wewe si kwako humu, kwa hiyo huwezi kubagua watu,, huyu mwenzetu,, huyu katumwa. Wewe leta hoja na sera acha umbeya.
 
Back
Top Bottom