JK kumpooza Masha na cheo gani?

Masha ndio hivyo tena kaangukia pua sasa nauliza je JK atambemba swahiba wake kwa kumpa cheo gani??

kwani ni lazima huyo masha apata cheo katika serikali ya tanzania, who is he hata atukoseshe usingizi, anyway JK atamfikiria kama atatoka salama huko hosp alikolazwa!!! huenda akampa ubalozi ili angalau akaitumikie elimu yake aliyoipata uingeletha:smile-big:
 
JK mwenyewe atakua anahitaji kupoozwa. Sasa iweje ampooze mwenzake?
 
Katika hali ya kuonyesha kukubali matokeo na kujipa moyo mh mstaafu amedai tena kwa nyodo kuwa hata kama wana mwanza wamemtosa lakini mkubwa atamkumbuka tu kwakuwa hawakukutana barabarani.


Wanabadiliko Tumpe Pole Huyu Jamaa kuz Anapumulia mashine.
 
Kuna kila dalili Masha, Dr Kamala, Marmo, Batilda wakarudishwa kwa kupitia viti 10 vya kuteuliwa na RAIS
 
Alafu haya mambo ya raisi kuteua washikaji wake kuna haja ya kulifutilia mbali seriously
 
Kama rais atawateua watu waliokataliwa na wananchi (yaani walishindwa kwa kura) hiyo itakuwa ni dhalau kubwa kwa Watanzania na hata wana CCM wenyewe. Kama anajua alifanyalo hawezi kuwateua ktk viti 10 wale walioshindwa.
 
Kuna kila dalili Masha, Dr Kamala, Marmo, Batilda wakarudishwa kwa kupitia viti 10 vya kuteuliwa na RAIS

Kwa kweli JK akifanya hivyo...atashangaza umma wa Tanzania, ila haishangazi kama atawarudisha kwani jamaa ana mambo ya ajabu sana ya kiswahili...!
 
JK harudi magogoni, JK ndo kwa kheri jamani!! atateua kivipi jamani au keshashinda wakuu? Mi naona JK hatoki kwenye hii Nongwa. Kanyaga twende tuone, so far naombeni matokeo ya kahama yanaendaje wakuu?
 
Hivi jamani kumbe kuna watanzania bado wanaamini Presda wao ana akili kabisa inayoweza kufanya kazi kuweza kujadili hayo? kwa taarifa yenu mkwere lazima arudishe ndani ya mjengo, Batilda, Masha, Kamala na Mramba...hii wala msishangai. Mkishangaa mtakuwa mmeamua tu wenyewe. Habri ndiyo hiyo bwana, by the way he has nothing to loose his term itakuwa imeisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom