Kwa vile mwanzisha thread hii hataki kuweka wazi ni kishindo gani,basi mimi naweza ku-predict kishindo alichoacha Kiwete. Ni kwamba baada ya hutuba yake iliyoonyesha hofu kubwa kwa Chama Makini chenye watu waliokwenda shule. NAWEZA KUBASHIRI KATI YA MAMBO 2 ALIYOAACHA:Sidhani kama kunaweza kuwa na kishindo zaidi ya hi ninavyodhani kuachwa na JK.
- KWAMBA ATAKUWA AMEAGIZA VIONGOZI WOTE WAANDAMIZI WA CHADEMA WAKAMATWE WAWEKWE NDANI KWA KUCHOCHEA MAPINDUZI YA KUIONDOA SERIKALI YA CCM ILIYOKO MADARAKANI.
- KUNA TAARIFA ZA KUAMINIKA KUWA SERIKALI IMEFULIA(HAINA PESA)MPAKA LEO 2/03/2011 KUNA WATUMISHI HAWAJAPATA MISHAHARA YA FEBRUARI HALI NI TETE JESHINI,POLISI NA KWENYE TAASISI MBALIMBALI ZA SERIKALI.
Kuna taarifa kwamba Rais Kikwete ameacha kishindo ndani ya serikali kabla hajaondoka. Nalala usiku mwema kwa walio na usiku wengine hata sijui nisemeje, ila tukiamka tuttafuaatili, sitopokea simu hadi kesho saa 3 asubuhi
Hakuna lolote wala chochote AMANI INAZIDI KUTAWALA TU. Na Chadema wakileta za kuleta NGUVU ZA DOLA ZITAWAANGUKIA tena kwa kishindo kikubwa sana.
mbona mwanakijiji na halisi mmesepa?......ndio mambo gani haya, ya kukeshesha watu namna hii.....wekeni hata tetesi basi.
..Huoni kwamba thread iko ktk jukwaa la tetesi? Kama tetesi haijatiki si wanasepa tu?
JK hana kishindo chochote; ni mkwara tu.
Wakati wa marehemu Amina (AC), JK alisikika kuwa ataangusha kishindo kwa wauza unga, lakini wapi. Hadi leo hakuna lolote.
Wakati aliponyimwa hela na wafadhili kwa ajili ya rushwa, aliahidi kuwa masifadi sasa wataipata. Akaunda TAKUKURU badala ya TAKURU na sheria mpya za kuwashughulikia; tangu hilo takola mkulu lianze, hatujaona lolote. Mafisadi wanayeya tu
JK hawezi kufanya lolote
JK ni kilaza asiyejua wajibu wa majukumu yake.
JK ni mtafuta sifa na ni mbinafsi sana. Kwake yeye urais wa nchi ni mradi wa ukoo wake wala haangalii maslahi ya nchi.
Hakuna cha kishindo wala cha nini kutoka kwa JK.
Nimesema!!!!!!
@#$@#$$%^&#^%%(*(&Y&*$&^*!!!!
Tupe habari mkuu, tujue!!!:A S 13:
au ndo kumkamata Dr?