Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,562
kama wala hata hataki kujiita wala kuitwa kwa vyeo vya kijeshi ila watu wanamlaumu kuwa dikteta,sasa akiitwa kwa vyeo vya kijeshi,utasikia,hatutaki utawala wa kijeshi sie! mwanadamu anaisha maneno?Yeye atapandishwa cheo lini kutoka kwenye uluteni kanali wake ambao hata hivyo huwa hapendi kuutumia zaidi ya udaktari wa kuchakachuliwa na kupewa?
Moshe Dayan, come quickly please!
Mkuu yeye alishatoka huko jeshini.
Hongereni sana Lt. Gen. Ryoba na Lt. Gen. Makakala. Naona tunazidi kusonga mbele. Huko nyuma jeshini kulikuwa kwa kawaida kuna Four-Star General (CDF) mmoja na Three-Star General mmoja (CoS) lakini sasa naona tuna Four Star General mmoja na three star generals watatu mmoja akiwa ni CoS. Tuendako huenda tukapata general of the army (five-star general) na hivyo four-star generals kuwa wengi pia.
Ndio maana baadhi yetu tunapendekeza kwenye katiba mpya madaraka ya Rais yapunguzwe.
Ilipaswa kuwa na muundo unaotaka wawepo hao maluteni jenerali na sio tu watu wanapandishwa vyeo kwa kuwaangalia, sasa mmoja ameshatoka jeshini (sina hakika kama kitengo cha maafa ni sehemu ya jeshi) halafu anapandishwa cheo!
Zaidi zaidi ni kupata mafao ya uleteni general ukistaafu na ni gharama kwa walipa kodi. Hata hivyo kwa utaratibu wa Jeshi Ndomba ni senior kwa hawa aliwatangulia kupata hiki cheo!
Yeye atapandishwa cheo lini kutoka kwenye uluteni kanali wake ambao hata hivyo huwa hapendi kuutumia zaidi ya udaktari wa kuchakachuliwa na kupewa?
Tujaribu kuwa waelewa na wepesi wa kupambanua mambo Jeshini kuna Vyeo na Madaraka pia hata Jeshi la Polisi pia kuna Vyeo na Madaraka kwa mfano Ma RPC karibu wote ni Ma Senior Assisstant Commissioners of Police ingawa wapo wenye nafasi Vyeo chini ya hapo ama juu ya hapo.......!
Mkuu unaweza kuwa na mafour hata masix-star generals lakini kumshikisha mtu adabu ni mchakato!
Mkuu kwani wewe ulitaka JK afanyaje?
Nipo comrade,,, nlikua kwny blog moja ya wakenya nlikua nawaharibia siku asbh na mapema kuhusu mambo yao ya uchaguzi
Mm nawapongeza hawa wakuu.., hawa wote ni vifaa vilivyoiva sana kijeshi.., makakala ndio mkuu kunduchi pale, kile chuo kipya
Muundo wa Jeshi letu kwa sasa unatoa nafasi moja tu ya General aliyekazini ambaye anakuwa Mkuu wa majeshi....
Luteni Generali mmoja tu ambaye anakuwa Mnadhimu mkuu wa Majeshi[chief of staff]
Ukiangalia historia ya majeshi ya ulinzi ...zamani wakatI Wanaanza mkuu wa majeshi alikuwa anakuwa ana cheo cha Brigedia Generali...[Waliohudumu kwa cheo hicho ni Mrisho Sarakikya......na Baadaye Twalipo]....
Luteni Jenerali huyu amejiunga na Dhehebu la KILOKOLE sasa angeweza kuwa Afisa Mnadhimu Mkuu kabla ya Luteni Jenerali Ndomba ambao wote hawa wanatoka Mkoa wa Ruvuma tena hapo mwanzo walikuwa wanatoka Wilaya moja ya Mbinga kabla ya kutenganishwa na kuwa na Wilaya ya Nyasa ambako Makakala ndiko anakotoka. Hivyo basi Ulokole wa Makakala ndiyo umempunguzia saifa ya ziada !
Na Mwandishi Wetu, Dar na Rufiji
Posted Jumanne,Decemba4 2012 saa 22:59 PM
Rwegasira alisema wananchi wa Rufiji wametakiwa kujitokeza kwa wingi kumpokea kiongozi huyo atakapoingia wilayani hapa ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mwaka 2010.
Hata hivyo, Rwegasira aliwataka madiwani kuwajulisha wananchi kushiriki kumpokea.
Sina uhakika na la Major General kuwa Chief of Staff tatizo langu ni pale kunapokuwa na seniors kwake katika muundo wa vyeo vya kijeshi ukizingatia nidhamu za kijeshi zilivyo maamuzi yake yanaweza kuwa yanatokana na nidhamu ya woga pale itakapobidi kutoa maamuzi ya kuathiri ma-luteni generali!Mkuu unazungumza utamaduni lakini sio muundo wa jeshi. Generali ni cheo cha kijeshi na sio madaraka. Mkuu wa jeshi ni madaraka. Hivyo kunaweza kuwepo kwa mageneral watatu.
Na luteni general ni cheo vilevile na sio madaraka ya kuwa chiefu of staff. Kwa Tanzania hata major general anaweza kuwa chief of staff.
Mkuu karibu tumekupata, samahani ni blog ipi hiyo maana nina jamaa wengi hapa wao wenyewe hawaelewani, kazi kweli kweli!!!!Nipo comrade,,, nlikua kwny blog moja ya wakenya nlikua nawaharibia siku asbh na mapema kuhusu mambo yao ya uchaguzi
Mm nawapongeza hawa wakuu.., hawa wote ni vifaa vilivyoiva sana kijeshi.., makakala ndio mkuu kunduchi pale, kile chuo kipya
Mkuu yeye alishatoka huko jeshini.
Hongereni sana Lt. Gen. Ryoba na Lt. Gen. Makakala. Naona tunazidi kusonga mbele. Huko nyuma jeshini kulikuwa kwa kawaida kuna Four-Star General (CDF) mmoja na Three-Star General mmoja (CoS) lakini sasa naona tuna Four Star General mmoja na three star generals watatu mmoja akiwa ni CoS. Tuendako huenda tukapata general of the army (five-star general) na hivyo four-star generals kuwa wengi pia.