MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,313
- 986
Katika kushkuru Tanzania kupata nafasi Mwenyekiti AU -JK alitumia Kiswahili- tofauti na Lugha za Kireno, Kifaransa, Kiarabu na Kiingereza- lugha za Mkoloni zilizozoeleka AU na Afrika!
AU iliidhinisha Kiswahili kama Lugha rasmi tangu 2004 ila bado ilikuwa haijaanza kutumika!
Je AU wamejiandaa na raslimali (watu na pesa) kuona kuwa Kiswahili kinaendelea kutumika ipasavyo? Mwaka jana AU ilitangaza nafasi nne (4) za ajira wakalimani Kiswahili!
Naskia JK alipoongea Kiswahili Adis leo 31/01 alishangiliwa sana!
Ni matumaini yetu nafasi ya Mwenyekiti AU Tanzania itakuza hii lugha ya Kiswahili- kutumika zaidi AU
Jamani mnaonaje? Je muda wa kutumia Kiswahili AU tayari? Au JK anatafuta umaarufu?