JK atumia Kiswahili AU

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,514
1,360
Katika kushkuru Tanzania kupata nafasi Mwenyekiti AU -JK alitumia Kiswahili- tofauti na Lugha za Kireno, Kifaransa, Kiarabu na Kiingereza- lugha za Mkoloni zilizozoeleka AU na Afrika!

AU iliidhinisha Kiswahili kama Lugha rasmi tangu 2004 ila bado ilikuwa haijaanza kutumika!

Je AU wamejiandaa na raslimali (watu na pesa) kuona kuwa Kiswahili kinaendelea kutumika ipasavyo? Mwaka jana AU ilitangaza nafasi nne (4) za ajira wakalimani Kiswahili!

Naskia JK alipoongea Kiswahili Adis leo 31/01 alishangiliwa sana!

Ni matumaini yetu nafasi ya Mwenyekiti AU Tanzania itakuza hii lugha ya Kiswahili- kutumika zaidi AU

Jamani mnaonaje? Je muda wa kutumia Kiswahili AU tayari? Au JK anatafuta umaarufu?
 
Namshukuru Rais Kikwete kwa kutumia nafasi hiyo kukuza Kiswahili. Kiswahili ni ligha iliyotuletea mshikamano.

Sasa inabidi tukikuze ili kuimarisha maendeleo.
 
Hii safi sana hata mie najaribu kuandika kiswahili, napenda kuzungumza kiswahili. Nitafurahi tu siku nizungumze kiswahili jukwaani!
 
Sidhani kama hiyo nafasi aliyopewa anaweza kuifanyia kazi na kusaidia hata nchi yetu na bara kwa ujumla kuendelea, Angalia hizi
Alivyokuwa waziri wa fedha aliwahi kusema uwongo ambao ulileta matatizo sana Bungeni.
Watu hawakuona hilo, wakampa kura, akawa Raisi, angalia sasa Matatizo anayotuletea hapa nchini jamani.
Sasa mtu huyu leo anapewa Urais wa AU, hivi inakuja akilini?
Aangalie asije kuleta Ufisadi wake huko kwenye nchi za watu, wao wana sheria watamfunga na akafilie jera

BabaH

Hivi Mheshimiwa alikuwa waziri wa fedha vile..? Alisema uwongo kwa Kiswahili? Umeniacha hoi na jera yako ya Kiswahili.
tuendelee...
 
Katika kushkuru Tanzania kupata nafasi Mwenyekiti AU -JK alitumia Kiswahili- tofauti na Lugha za Kireno, Kifaransa, Kiarabu na Kiingereza- lugha za Mkoloni zilizozoeleka AU na Afrika!

AU iliidhinisha Kiswahili kama Lugha rasmi tangu 2004 ila bado ilikuwa haijaanza kutumika!

Je AU wamejiandaa na raslimali (watu na pesa) kuona kuwa Kiswahili kinaendelea kutumika ipasavyo? Mwaka jana AU ilitangaza nafasi nne (4) za ajira wakalimani Kiswahili!

Naskia JK alipoongea Kiswahili Adis leo 31/01 alishangiliwa sana!

Ni matumaini yetu nafasi ya Mwenyekiti AU Tanzania itakuza hii lugha ya Kiswahili- kutumika zaidi AU

Jamani mnaonaje? Je muda wa kutumia Kiswahili AU tayari? Au JK anatafuta umaarufu?

Heko JK, Ngai wa Sinai akuzidishie mabaraka na madaraka na wanaochomeka wachomeke na baadaye kidogo tukuone umekuwa raisi wa amerika na harafu kidogo uwe ri-dunia rote na wazidi kuchomeka miroho yao mibaya kama mijuso yao, yaone yana sugurika
 
Kutumia Kiswahili AU is along overdue thing.Hii lugha lazima ikuzwe na ipigiwe debe hadi mitaa ya UN.
 
Katika kushkuru Tanzania kupata nafasi Mwenyekiti AU -JK alitumia Kiswahili- tofauti na Lugha za Kireno, Kifaransa, Kiarabu na Kiingereza- lugha za Mkoloni zilizozoeleka AU na Afrika!

AU iliidhinisha Kiswahili kama Lugha rasmi tangu 2004 ila bado ilikuwa haijaanza kutumika!

Je AU wamejiandaa na raslimali (watu na pesa) kuona kuwa Kiswahili kinaendelea kutumika ipasavyo? Mwaka jana AU ilitangaza nafasi nne (4) za ajira wakalimani Kiswahili!

Naskia JK alipoongea Kiswahili Adis leo 31/01 alishangiliwa sana!

Ni matumaini yetu nafasi ya Mwenyekiti AU Tanzania itakuza hii lugha ya Kiswahili- kutumika zaidi AU

Jamani mnaonaje? Je muda wa kutumia Kiswahili AU tayari? Au JK anatafuta umaarufu?

rioneni na hiri heti maruga ya kikoroni si wariwakoronaizi mababu na mabibi zako kwani warikukoronaizi wewe na mibabu na mibibi ya mababu na mabibi zako si wariwakoronaizi mababu na mabibi wa mibabu na mibibi yao. kwani wewe hujasoma yare mambo ya kure zama za kare. si mababu na mabibi wa mibabu na mibibi yako ndio irikiuwa mijitu ya mwanzo hapa kwenye hiri ridunia renu. si mipicha ya mifupa yao ipo pare mijitu inakokwenda kujikumbusha mihapari ya kare. karibu na rire ri chuo ra mipesa pare darisalama. sasa kama yariripa mikisasi si yanasomaga kwenye mivitabu yenu. umekwisha nikorogaga sana kwa huritumii rikichwa rako, kwaniire shure uriperekwa kufanyanga nini
 
mabangi, vipi? yamesha panda kichwani? au ulikandamiza bila breakfast?
 
Nampongeza kwa kutumia kiswahili huko Adis lakini la kusema uongo kwa JK alisema uongo kwa kiswahili na si mara moja .Amesema haya kuanzia akiwa Waziri hata bado ni rais anasema uongo.
 
Aisee Muungwana Bwana..Mie sitegemei Jipya kutoka kwa Muungwana,Mtu wa kucheka cheka hata wakati anongea jambo la maana.Ngoja hata waafrika wenzetu wamfahamu huyu kilaza wetu.
 
Aisee Muungwana Bwana..Mie sitegemei Jipya kutoka kwa Muungwana,Mtu wa kucheka cheka hata wakati anaongea jambo la maana.Ngoja hata waafrika wenzetu wamfahamu huyu handsome wao.
 
Mtu wa kwanza kabisa kutumia kiswahili baada ya kuidhinishwa kutumiwa AU ni Chisano aliyekuwa rais wa nchi ya msumbiji,kama sikosei wakati huo rais wa Tanzania alikuwa Mkapa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom