Taifa linaloongozwa na uwezo wa NDUMBA na kuweka pembeni wasomi wake wenye taalum na maarifa lukuki kamwa halifiki mbali.
Za Sheik Yahaya ndiyo hiyo imechuja, umeyasikia ya huko MZOGA bado ya MLINGOTINI wakati taifa zima kwa imani zetu TUMEFUNGA na kuliombea nchi yetu dua njema; Mungu atuokoe tuondokane kabisa na MAFISADI, awaaibishe WACHAWI na kuonyesha uwezo wake ya ajabu kutupa njia mpya ya kufwata kujiandikia wenyewe KATIBA MPYA bila ya kuwekwa kati madalali kuwakilisha hoja na tija za watawala wadhalimu tu.
Ingawaje wengi hatuamini ushirikina lakini viongozi kushiriki huko hasa baada ya kumwaga damu ya Watanzania wasio na hadia ni kujidhalilisha tu na kupoteza muda wao bure!