Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,872
- 1,891
Wakati tukiwa tuna angalia nini kitafanyika mwaka 2008 JK ameanza mwaka kwa kuingia Ulaya tena . Sijajua atakuwa Ulaya kwa muda gani lakini tarehe 14 Feb anaomba kukutana na wadanganyika wa kule . Nina wasi wasi na aina ya watu ambao wako Ujerumani maana siamini kama wanaweza kumkoma Nyani ila tuombe wawepo wambane atujibu maswali baadhi . Naona wanapinga kuandikishwa majina na Ubalozi sasa hivi maana wana wasi wasi wakisha andikishwa wataombwa wapeleke maswali pia .
Fuatilieni mjue kulikoni.
Salaam Toka Wilson Airport Nairobi.
Fuatilieni mjue kulikoni.
Salaam Toka Wilson Airport Nairobi.