JK atakuwa Berlin Feb 14 wanaomba majina ya washiriki

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wakati tukiwa tuna angalia nini kitafanyika mwaka 2008 JK ameanza mwaka kwa kuingia Ulaya tena . Sijajua atakuwa Ulaya kwa muda gani lakini tarehe 14 Feb anaomba kukutana na wadanganyika wa kule . Nina wasi wasi na aina ya watu ambao wako Ujerumani maana siamini kama wanaweza kumkoma Nyani ila tuombe wawepo wambane atujibu maswali baadhi . Naona wanapinga kuandikishwa majina na Ubalozi sasa hivi maana wana wasi wasi wakisha andikishwa wataombwa wapeleke maswali pia .

Fuatilieni mjue kulikoni.

Salaam Toka Wilson Airport Nairobi.
 
Kwa nini msimpigie simu tu kumuuliza mpaka mmsubiri Ujerumani? Nasikia watu wengi wanayo namba yake, na nasikia awali alikuwa anapenda kujibu maswali ya wananchi moja kwa moja.
 
Yeah.. nasikia anapanga kutembelea Airbus, ambako jidege letu jipya laja.. !

Kwani Rais ni waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi? Mashirika mengine yanaagiza ndege zaidi ya hamsini. Sisi tumeagiza tu-ndege tuwili, Raisi anaenda kiwandani! Au I am missing something?
 
Ish! Nimepitwa na mengi. Yaani serikali yetu inaagiza ndege mpya mbili? Halafu ni nani azitunze na kuendesha shirika kuhakikisha tunapata "our moneys worth"? Ikiwa wameshindwa coordination ya kukodi ndege kwa mahujaji, je wataweza kuendesha shirika kwa faida? Kweli tumestaajabu ya Musa na tungojee ya Firauni!
 
JK ni msanii bwana . Yaani mambo yake huwa kidogo lakini huzua maswali meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengi .
 
JK ni msanii bwana . Yaani mambo yake huwa kidogo lakini huzua maswali meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengi .
Huyo Muungwana mbona mwisho akisafili akiludi kumetumbuka jipu ,sasa akienda huko basi usishangae kukazuka habari zingine za mafisadi ,alafu ndo unamsikia akituondosha kwenye njia kwa kusema safu yake imetimia tusubibiri mikakati ya elufu mbili na kumi ,apo ndo ananiwacha hoi kabisa !!
 
Mimi niko Greenland, namsubiri aje kututembelea na "kujitambulisha" kwetu pia; asiwe mbaguzi.
 
Na asisahau pia kuna nchi kama vile Kirgistan, Kazakstan na Azabaijan
 
Majina ya nini sasa? This reeks of classical Orwellian intimidation.The Ikulu people should know better.
 
Mimi niko Greenland, namsubiri aje kututembelea na "kujitambulisha" kwetu pia; asiwe mbaguzi.

hahaha nimecheka mie.....
ama kweli nadhani akimaliza miaka yake mitano atakua kabakisha sehemu chache sana duniani za kuzuru may b they will be kept pending till next kipindi kip goin our vasco da gama
 
hivi india na pakistani anakwenda lini,je sisi wa urusi atakuja lini

heheh india kwa vile kuna mwanae lazma ataenda tuu so wakae wakisubiri...pakistan nadhani karibia na uchaguzi ataenda kuchukua mafunzo ya namna kuwa bhuto wapinzani wowote..urusi ofkoz ikikaribia uchaguzi atahitaji zaidi skillz zao za kuua watu kwa sumu as wakati huo uchawi (kamati ya ufundi)itakua haina nguvu...mwishoni kabsaa ata mfuata nduguye muzee kibaki kujufunza skills za wizi wa kura wa nguvu na kutumia jeshi!!so lets kip on waiting and kumshangilia vasco da gama wetuuu
 
nyepesi nyepesi nilosikia MUUNGWANA ameahidi this time akivunja baraza lake la mawaziri,baraza lake jipya atalitangaza akiwa MAPUMZIKONI IKULU NDOGO huku nyumbani KWETU CHAKECHAKE PEMBA.tuna hamu naye aje kutembea na huku PEMBA.
tusubiri tuone.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom