anaenda kwa mganga
Pengine ni kwa ajili ya matibabu,angejipumzikia zake tu kulinusuru Taifa gharama na mambo mengine.
kwani anaumwa nini ?
Mtasema sana lakini Uzi ni ule ule.Msituletee balaa la Vita nchini kwetu nyie wapenda shari.
Jamani JITIHADA za mwanadam hazizidi KUDRA za mwenyezi Mungu, Kikwete. Alinifurahisha sana na hii kauli yake!
mkuu hayo matusi bwana hata kama anakosea walau tumheshimu kuwa ni baba yake riz 1
5th EITI Global conference Paris 2-3 March 2011 : Extractive industries transparency initiative Speakers | Extractive Industries Transparency Initiative
Thursday 3 March
PLENARY 3: THE FUTURE OF THE EITI AND REVENUE TRANSPARENCY
Chair: Clare Short, Chair-candidate, Extractive Industries Transparency Initiative
HE Jakaya Kikwete, President of Tanzania
HE Armando Guebuza, President of the Republic of Mozambique
HE Hussain al-Shahristani, Deputy Prime Minister, Iraq
Robert Hormats, Under Secretary of State for Economic, Energy and Agricultural Affairs, United States
Nobuo Tanaka, Executive Director, International Energy Agency
Sri Mulyani Indrawati, Managing Director, World Bank
George Soros, Chairman, Open Society Foundations
Keith Skeoch, Chief Executive Officer, Standard Life Investments

Natamani Mh. Dr. Slaa achukue nchi ili awe rais wa kwanza kutosafiri nje ya nchi, awe rais asiyeomba msaada nje ya nchi, asiyekopa, hakutakuwa na rushwa, mahosipitali yote yatajaa dawa na vifaa, shule zitakuwa na madawati bila kuchangisha wafanyabiashara na wananchi, hakutakuwa na wakwepa kodi, machinga hawatalipa kodi na watafanyia umachinga popote wanapotaka hata kama ni katikati ya barabara na airport, kariakoo igeuke taipei, mfumuko wa bei soko la dunia hautaikumba nchi yetu nzuri, madini tutachimba wenyewe bila kutegemea nchi au makampuni ya kilaghai, vijana tutakua huru kuandamana kufurahia au kulaani jambo bila kuhitaji polisi. Polisi na majeshi yatakuwa katika hali nzuri, mabomuu hayatalipuka hata kwa bahati mbaya/ajali, umeme utawafikia watu wote ndani ya miaka mitano nk.
Anaenda kumwakilisha waziri wa michezo kwenye mkutano wa mawaziri katika kukuza michezo. afu amewaambia wasaidiz wake wasimpe taarifa zozote za bongo!
Umeathirika kiakili wewe, familia yake mwenyewe immemshinda ataweza hii nchi kweli, na wasiwasi ww mchicha mwiba
Mkwere na supu ya miguu ya kuku!
cha Arusha hici bila shaka au cha meruNatamani Mh. Dr. Slaa achukue nchi ili awe rais wa kwanza kutosafiri nje ya nchi, awe rais asiyeomba msaada nje ya nchi, asiyekopa, hakutakuwa na rushwa, mahosipitali yote yatajaa dawa na vifaa, shule zitakuwa na madawati bila kuchangisha wafanyabiashara na wananchi, hakutakuwa na wakwepa kodi, machinga hawatalipa kodi na watafanyia umachinga popote wanapotaka hata kama ni katikati ya barabara na airport, kariakoo igeuke taipei, mfumuko wa bei soko la dunia hautaikumba nchi yetu nzuri, madini tutachimba wenyewe bila kutegemea nchi au makampuni ya kilaghai, vijana tutakua huru kuandamana kufurahia au kulaani jambo bila kuhitaji polisi. Polisi na majeshi yatakuwa katika hali nzuri, mabomuu hayatalipuka hata kwa bahati mbaya/ajali, umeme utawafikia watu wote ndani ya miaka mitano nk.