Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 309
Anaenda kutafuta chakula! Au mnataka aendelee kukaa hapa tulale njaa:wink2:
Mbona hajaniaga mimi mwajiri wake?
natamani mh. Dr. Slaa achukue nchi ili awe rais wa kwanza kutosafiri nje ya nchi, awe rais asiyeomba msaada nje ya nchi, asiyekopa, hakutakuwa na rushwa, mahosipitali yote yatajaa dawa na vifaa, shule zitakuwa na madawati bila kuchangisha wafanyabiashara na wananchi, hakutakuwa na wakwepa kodi, machinga hawatalipa kodi na watafanyia umachinga popote wanapotaka hata kama ni katikati ya barabara na airport, kariakoo igeuke taipei, mfumuko wa bei soko la dunia hautaikumba nchi yetu nzuri, madini tutachimba wenyewe bila kutegemea nchi au makampuni ya kilaghai, vijana tutakua huru kuandamana kufurahia au kulaani jambo bila kuhitaji polisi. Polisi na majeshi yatakuwa katika hali nzuri, mabomuu hayatalipuka hata kwa bahati mbaya/ajali, umeme utawafikia watu wote ndani ya miaka mitano nk.
Natamani Mh. Dr. Slaa achukue nchi ili awe rais wa kwanza kutosafiri nje ya nchi, awe rais asiyeomba msaada nje ya nchi, asiyekopa, hakutakuwa na rushwa, mahosipitali yote yatajaa dawa na vifaa, shule zitakuwa na madawati bila kuchangisha wafanyabiashara na wananchi, hakutakuwa na wakwepa kodi, machinga hawatalipa kodi na watafanyia umachinga popote wanapotaka hata kama ni katikati ya barabara na airport, kariakoo igeuke taipei, mfumuko wa bei soko la dunia hautaikumba nchi yetu nzuri, madini tutachimba wenyewe bila kutegemea nchi au makampuni ya kilaghai, vijana tutakua huru kuandamana kufurahia au kulaani jambo bila kuhitaji polisi. Polisi na majeshi yatakuwa katika hali nzuri, mabomuu hayatalipuka hata kwa bahati mbaya/ajali, umeme utawafikia watu wote ndani ya miaka mitano nk.
....baada ya kuongea pumba za jana ..tuko hapa airport ..tunaona JK Anaondoka kwenda nje ya nchi ...anaagana na viongozi wote wakuu pale...sijui kwa nini safari hii kimya kimya......
.....wanapofanya patrol za kimataifa wamkamate huyu mzururaji!!!!!! kiguu na njia,,,,anaenda kuombaomba misaada nje huku kashindwa kuwa innovative enough ndani ya nchi!....baada ya kuongea pumba za jana ..tuko hapa airport ..tunaona JK Anaondoka kwenda nje ya nchi ...anaagana na viongozi wote wakuu pale...sijui kwa nini safari hii kimya kimya......
.....wanapofanya patrol za kimataifa wamkamate huyu mzururaji!!!!!! kiguu na njia,,,,anaenda kuombaomba misaada nje huku kashindwa kuwa innovative enough ndani ya nchi!
....baada ya kuongea pumba za jana ..tuko hapa airport ..tunaona JK Anaondoka kwenda nje ya nchi ...anaagana na viongozi wote wakuu pale...sijui kwa nini safari hii kimya kimya......
anaenda kwa mganga