JK anasa Marekani!!

ajiunge na mwenzake huyu....hahahaha! Sasa sijui kama ikulu nao wanaweza kutumia ipad! Kazi kweli kweli!
laptop yenyewe hawezi kutumia ataweza ipad huyu..kwanza kutumia mac OS hawezi...yeye ni kuchat kwa meseji kwenye nokia yake N95 ndo anaweza
 
Kutokana na kuendelea kwa miripuko ya volcano huko Iceland, mashirika ya ndege
yamesitisha safari zake ambapo yamepelekea rais Kikwete kuendelea kubaki nje ya nchi
kinyume na ratiba yake ilivyokuwa...

Source: Majira

My Intake

Wadau wa JF mnatoa ushauri gani ili mpendwa rais wetu aweze kurudi nyumbani??,-
kwa sababu hii volcano inasemekana inaweza kuendelea zaidi ya miezi miwili,
A- Apande meli
B-Aombe serekali ya US imuazime AIR FORCE 1 or 2
C- Atumie ndege ya Jeshi
D-Helcopter
E-...........

- Mkuu heshima sana, the dataz ni kwamba Muungwana ameondoka leo asubuhi kama ziara yake ilivyokuwa imepangwa, yaani aondoke leo asubuhi na Emirates.

- Ziara yake ilikuwa imepangwa kuisha jana usiku kwa interviews za media na hafla ya chakula cha usiku, na leo asubuhi ndiyo aondoke kurejea home, and he did it!

Thanks and Later bin Out!

FMEs!
 
Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?

Hata kama ni uhuru wa kuongea hapa sasa ni utovu wa nidhamu.
 
ndege ya rais ni gulfstream 550 ina uwezo wa kwenda juu futi 51000 na endurance ya masaa 14, isitoshe sio lazima apitie njia hiyo, ukiangalia ramani hata wewe utapata altenative ya njia nyingine. Kwa mtazamo wangu sidhani kama amekwama kwa ajili hiyo

Thubutuuuu!! JK alishaambiwa yaliyompata Museveni alipotumia ndege yake kwenda Trinidad and Tobago kwenye mkutano wa common wealth hadi Museven akaamua kurudi na ndege ya abiria kwenye economy class (baada ya kukosa siti za first na business class) akizuga ati anataka kuwa karibu na walala hoi kwenye economy class!! JK wewe baki huko huko hadi anga itulie...tumechoka kuzika!
 
Atumie nafasi hii kupima afya ya mwili na akili, we still need him for the next 5 years.....lol!

I doubt on your comment sir!
I real want to tell you no one is in need of this man whatsoever the system running this country, what you are putting forward is against your feeling, it is like you are writing while your heart is bleeding, I have the sense JF is unlike the utamu blog, don't worry Masanilo JF will last longer, Don't hide your feeling while praising stupidity.
The JK regime is of no deference with that of President Omar Torrijos of Panama (Killed by American, get time read similarities and deferences)
He is fucken tied with up with American stupidity corporatocracy, in manipulating countries resources for Americans. (Proof, check on the souther corridor projects- American are real mother fuckers)
With all the fund said to come to our country to some development aid, they are useless they are for developing Americans. Funds are essentially interchanged within accounts in America.
Unless you understand what I want to tell you fellow citizen needs commitment and readiness of getting to revolution.

NO ONE NEEDS JK AND HIS GOVERNMENT BUT HOW DO WE GET RID OF THEM,
Never by ballot. Teh heee heee!!! (fucking them is no joke it is a hustle )
Regards.
Kero
 
Kataka kukwama tuu, si apande South African Airways apitie Jo'burg.
 
- Mkuu heshima sana, the dataz ni kwamba Muungwana ameondoka leo asubuhi kama ziara yake ilivyokuwa imepangwa, yaani aondoke leo asubuhi na Emirates.

- Ziara yake ilikuwa imepangwa kuisha jana usiku kwa interviews za media na hafla ya chakula cha usiku, na leo asubuhi ndiyo aondoke kurejea home, and he did it!

Thanks and Later bin Out!

FMEs!

Kujifaragua tu. `Media gani zina interest na wachovu kama sisi
 
We mtu mzima unaongea upuuzi kama huu.. yani unamtakia Rais wa nchi afe? Stupidity knows no limit in some people it seems... kwani unadhani kuna mwengine anaeweza kuja akatatua matatizo ya Tanzania over night? Inaudhi..
 
Wizi tu, hakuna lolote.

He is no good indeed. Why is he in the U.S anyway?
 
Atumie nafasi hii kupima afya ya mwili na akili, we still need him for the next 5 years.....lol!

Maybe we nd'o bado unamuhitaji. Aaghhh!! Anantia hata kichefu chefu. Sijawahi kuona viongozi wa kiafrica wenye uroho kama wa TZ?! hawana hata hiyana, kucha kuwaibia tu wanyonge! WABINAFSIIII.... nd'o maana waafrica tutabaki kuwa maskini milele.
 
Narekebisha sasa! Atumie nafasi hiyo kupima afya ya mwili na akili, ikiwezekana abaki huko huko hadi 2015, Tanzania haihitajiki maana hana analifanya! List ya wafanyabiashara za madawa ya kulevya anayo, wala Rushwa anayo, Mafisadi anayo, hana ubavu wa kufanya lolote. Kuuza sura anaweza baba JK hamia huko huko US.
 
Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?

Unazungumzia Rais wa TANZANIA aliyechaguliwa na Wantanzania 80%. Tunaweza kuwa tunatofautina nae kwa mambo ya kisiasa lakini this is far too personal! Punguza jaziba try to challenge Him on what we elected him to do! Please!!
 
Atumie nafasi hii kupima afya ya mwili na akili, we still need him for the next 5 years.....lol!

Masanilo , you have hit the nail on the head; jamaa alikwenda kupima afya yake kabla ya kuanza kampeni na ndio maana alikwenda / aliongozana na waziri wa afya!! Hopefully amepata clean bill of health ama sivyo asijeanguka tena!!
 
Back
Top Bottom