JK anamuandaa Edward Lowasa kuwa rais mwaka 2015

JK anamuandaa Edward Lowasa kuwa rais mwaka 2015

Kwa tunaojua siasa za bongo hiyo scenario ni 100% kweli, na tayari watu kibao wameshaingizwa mkenge kuhusu sanaa inayochezwa na JK na EL. Mhanga wa kwanza kabisa ni mbunge wa Kyela, hii madai ya kupewa sumu wala hayana connection na Richmond bali ni mbio za urais 2015. Inshallah Mungu akitujalia uzima tutayaona muda sio mrefu yakijifunua
 
Hata kama ni tetesi, eleza anamuandaaje? Kumuandaa mtu kuna maana nyingi sema ya kwako ueleweke.
 
Mods kungekuwa na kipengele cha kuwalamba BAN watu kama hawa ingekuwa swaafi sana.
 
Mods kungekuwa na kipengele cha kuwalamba BAN watu kama hawa ingekuwa swaafi sana.
 
yaaani akitajwa lowassa huwa si underestimate hata kidogo ..the man is powerful of everything .....sitashangaa hata kidogo siku akiwa rais
 
Mkuu haimaanishi kila anayefanya kazi ikulu anajua siri za rais wako na mambo yanayoendelea hapa nchini tena wengi wao ni wazushi sana na hupenda kujifanya wanajua mambo lakini hakuna kitu ni wazushi tu.
 
sishangai inawezekana ikawa kweli, lowasa is so powerful inawezekana mkuu wa kaya kaona hana jinsi ya kumtosa so wakaamua kucheza game ya kiini macho ili waonekane maadui kumbe lowasa ndiye anaandaliwa.
Hii ndiyo tanzania Mungu atupe siku tutashangaa mengi
 
Hizo ni kampeni za magamba group za kutaka kuwaaminisha watu ili wamuunge mkono lkn siku hizi kila mtu ana uelewa hamuwezi kutudanganya. Magamba on the line...
 
Kwa hiyo nayo ni tetesi ? Mbona kila Mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 21 anaruhusiwa kutangaza nia na kuomba idhini kutoka chama chake ili agombea nafasi hiyo kubwa katika Taifa.
 
poa, tunakusubiri,sikila mtu anamchukia Lowasa,apendekeze, wenyenchi tutaamua kama chadema watakua wameboronga basi, LOWASA POA.
 
Kuna kiwango cha kuchuja hizo tetesi zako. Chukua tetesi then changanya na akili za kwako,si kila kitu unameza tuu!!! Amsha akili kutoka likizo!!
 
Kwa hiyo nayo ni tetesi ? Mbona kila Mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 21 anaruhusiwa kutangaza nia na kuomba idhini kutoka chama chake ili agombea nafasi hiyo kubwa katika Taifa.

Hata umri wa kugombea urais huujui halafu unajifanya kumpinga mleta hoja. Kwa CCM lolote linawezekana. So far sidhani kama kuna mtu aliyewahi kuandaliwa kuwa Rais TZ. Wote wamekuwa wanazuka tu na wanaukwaa kibahati!!
 
Kweli siasa ni mchezo mchafu. Unaweza kumsikia mwanasiasa anasema hiki ukafikiri anamaanisha kumbe ni kuhadaa wananchi tu, hii imedhihirika baada ya kupata tetesi kutoka Ikulu ya Dodoma kuwa anayeandaliwa kuwa Rais mwaka 2015 ni Edward Lowasa na sio Asha Rose Migiro wala Amani Karume.

Mtoa habari hizi ameeleza kuwa mipango hii inafanywa kwa ustadi mkubwa sana kiasi kwamba sio rahisi watu kufahamu kinachoendeleo hivi sasa.

Ameendelea kusema, mbinu alizozifanya na atakazoendelea kuzifanya ni pamoja na;

  1. Kujifanya ni adui mkubwa wa Lowasa kwa sasa ili watu waamini hivyo
  2. Kumlejesha Asha Rose Migiro nyumbani ili aanze kuonekana kwa watu ambapo hivi karibuni atamteua kuwa mbunge na hatimaye waziri (Kumbuka JK bado ana nafasi 7 za wabunge, zilikuwa zinamsubiri mama huyu).
  3. Hata mabadiriko ya baraza la mawaziri lililoandikwa sana kwenye vyombo vya habari lilikuwa linamsubiri Asha.
  4. Anasema, '' UKWELI NI KWAMBA ASHA HAADALIWI KUWA RAIS BALI WAZIRI MKUU''
  5. Ananiambia, Siri ya JK na Lowasa ni kubwa Mno mpaka uijue unakuwa umeaminiwa sana na hawa watu.
  6. Lowasa atajulikana mwishoni kabisa kwenye maamuzi ya CC ambayo mtu pekee wa kuamua ni JK mwenyewe kwavile hana mtu mwingine wa kumpinga mle.
  7. Kuwaondoa Marais wastaafu kwenye CC ndiyo ulikuwa mtihani wake mgumu sana na sasa kafaulu na baada ya mchakato huo wazee hao watarudishwa tena CC.

Nawasilisha.
Ina maana huyo Mh.Asha-Rose ndio atapewe hizo nafasi zote 7 zilizobaki? mbona hueleweki mdau?
 
Haueleweki mkuu, Jarbu kujipanga urudi tena.

Join Date : 20th March 2012

Posts : 5
Rep Power : 302

Likes Received 0 ??????????
Likes Given 0????????

karibu sana.
 
Back
Top Bottom