JK Amewasili

furahi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
945
195
Jamani dingi wenu ndo keshawasili hivyo, misafara kuelekea magogoni ndo unapita. Haya nini shida?
 
Jamani dingi wenu ndo keshawasili hivyo, misafara kuelekea magogoni ndo unapita. Haya nini shida?
do!huyu mzee kiboko shida yetu hotuba ya kila mwisho wa mwezi kwan tunategemea kupitia hotuba hii huenda akavunja ukimya kuhusu dowans
 
Aje aendeleze libeneke, umeme hakuna,maji shida na bei ya sukari leo mtaani kwetu ilikua elfu 2100.
 
Leo kwani ametumia X5 ngapi ktk msafara?
Na je magari jumla aliyotumia yanazidi 30 ama (airport-magogoni)..?
 
Karibu nyumbani baba...
Vipi Dowans mzee...

Twafa na bei ya vitu huku mkubwa...
 
Karibu hom baba

Vipi Dowans Mzee...

Bei ya vitu inattuwa huku mkubwaaa...
 
Mwambieni afungue aljazeera aone mfumuko wa bei unavyoweza kufumua kila kitu...
 
Eti Ban ki moon amempa tuzo ya kupigana na malaria,malaria ipi hiyo aliyopigana nayo,na aibu hana!Yaani kugawa net fek ndo wameona ameweza!
 
Kuna siku tvampeleka straight segerea...hiyo ndo itakuwa magogoni yake
 
Aje aendeleze libeneke, umeme hakuna,maji shida na bei ya sukari leo mtaani kwetu ilikua elfu 2100.

We acha tu, na ule mkate mdogo ni buku yaani kwa sisil wa nuclear family wanagusagusa then wanakutazama machoni
 
Bei ya petroli ikoje sasa, mchele je,
Mh jamani SEMBE yetu maana ndo tumekulia hiyo, sijui inauzwaje sasa?
 
mkaribisheni vizuri kwani ni lazima atakuja na kitu alichojifunza alipokuwa huko
 
Aje aendeleze libeneke, umeme hakuna,maji shida na bei ya sukari leo mtaani kwetu ilikua elfu 2100.

hayo yote siyo ishu kwake...........

utasikia usalama wa taifa wamekamata mtu mwenye sms inayohusu kikwete
 
Back
Top Bottom