Jk ametoa ndege bure kwenda india.

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
355
Reaction score
36
Zikiwa zimebaki dakika chache kabla ya mgomo wa madaktari kuanza nchi nzima rais wetu ametoa nafasi kwa wagonjwa mahututi kupelekwa india ili kuepuka zakhama itakayowakuta wakati wa mgomo' huu ni upendo wa dhati Rahisi kutoa ndege yake tuliyoambiwa tutakula nyasi inunuliwe leo inatusaidia....! So wenye wagonjwa mtafuteni miss nkya na handsome mponda! Chi chi em oyeee...!
 
Sielewi na sipati picha ndege ya rais utapakia mahututi wangapi please huu mzaa sana sana.I hope this is a joke?
 
ndege lenyewe skrepa limeshindikanika kutengenezeka,wamelitupa
 
inaweza kuwa kweli kwani ****** haishi vituko.
 
Sielewi na sipati picha ndege ya rais utapakia mahututi wangapi please huu mzaa sana sana.I hope this is a joke?
kuna rafiki yake anaitwa lowa usaha wa moi nduli amepiga mchakato! Itapakia wagonjwa kwa kujuana so nipm kama unaitaji chance...!
 
Kwani leo ni tar 1 mwezi wa 4, au nayo inabadilika kama pasaka?
sio sikukuu ya wajinga ila hizi ni habari zilizovyunjika toka jumba jeupe lkn kama nlivyosema watatangulia wagonjwa wa wakubwa!
 
Habari hizo zilibebwa na moshi kutoka soko la samaki pale feri kupitia jengo jeupe na kumfikia bambanza jr.
 
Habari hizo zilibebwa na moshi kutoka soko la samaki pale feri kupitia jengo jeupe na kumfikia bambanza jr.
ha! ha! ha! ha! ha! ha! Tell me not....! (usiniambie)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…