JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

Kuna kila dalili kuwa JK ame-act kama 'mchonganishi' kwenye hii saga. Hii danadana ya 'chunguza, simamisha, rudisha, simamisha' sio tu inapoteza muda bali pia imejeruhi watu wengine: sasa hivi reputation ya Mh waziri mkuu Pinda imeharibika vibaya. Na kwa nini Luhanjo ameonekana kuwa nguvu 'kimamlaka' kuliko waziri mkuu na hata Bunge?

Hiyo ni mbinu mahsusi iliyobuniwana CCM ili kuwapoteza CHADEMA waendelee kufuatilia saga moja isiyokuwa na mwisho. Ili kuthibitisha hilo, ndiyo maana kamati ya kumchunguza Jairo imetengenezwa na wabunge wengi wa CHADEMA wale waongeaji( vitriol speakers) mfano Halima Mdee, Zitto, Mbowe, Lissu.

sijui nisemeje maswali mengi kushinda majibu kwenye hii moveee......kuna haja gani kuwa na serikali kama naibu spika alivyosema jana dharau zao huko huko sio bungeni hata wabunge wa ccm kila mmoja analalamika ahadi za raisi..kilio

mmmh,lazima nikiri,kwa hii move ya ghafla,Rais amecheza vizuri karata zake,tena ikionekana kama kaingilia yeye kati! We didnt expect this mpaka kwa shinikizo!

Hii nayo kali, hivi wale waliosukuma gari lake na vinyimbo vyao vya dhihaka wako katika hali gani?

Huu ni upumbavu kabisa.hatuna serikali.KWANZA WANACHEZA NA HISIA ZETU.HIVI RAIS HANA UWEZO WA kumfukuza kazi jairo?let say kumstaafisha?kamati nayo hadi hela.TUMECHOK

Kwanza Jairo mwenyewe na hisi ni zaidi ya 60 yrs!staafisha hili kuku!halifai!

Hiyo ni mbinu mahsusi iliyobuniwana CCM ili kuwapoteza CHADEMA waendelee kufuatilia saga moja isiyokuwa na mwisho. Ili kuthibitisha hilo, ndiyo maana kamati ya kumchunguza Jairo imetengenezwa na wabunge wengi wa CHADEMA wale waongeaji( vitriol speakers) mfano Halima Mdee, Zitto, Mbowe, Lissu.

wewe huna tofauti na mhogo mchungu

Huu ni upumbavu kabisa.hatuna serikali.KWANZA WANACHEZA NA HISIA ZETU.HIVI RAIS HANA UWEZO WA kumfukuza kazi jairo?let say kumstaafisha?kamati nayo hadi hela.TUMECHOK
Hizi sarakasi tu, inamaana JK alikua hajui mpaka Pinda alipooenda kulia lia kwake ohoo nimefedheheshwa sana, nimehuzunika na nimevunjiwa heshima hebu nisaidie katika hili. JK akaona soo kweli we mtu wangu, sasa ngoja tuwapige changa la macho wadanganyika then mwisho wa siku ni yale yale tunayoyajua yatatokea, kua mpole Pinda ishu itaisha tu hii.

Da naona wanamazingaombwe wako kazini,wanamchinja mtu kiuongo uongo then wanamuunga tena,NACHO NI KIPAJI.

Ame absorb pressure kwa muda ili ajipange.aliemshauri kuamua yeye kama Rais ghafla bila shinikizo nafikiri amefanikiwa.let tommorow take care of it's self!

Hongera JK kwa kufanya maamuzi mazito, magumu na ya kiume. Sasa wapinzani wako sijui watapata wapi cha kuongea? Umethubutu, Umeweza sasa hebu SONGA MBELE!

We nae akili ndogo sana yani ntu kumpa likizo we unaona maamuzi magumu!

Back
Top Bottom