JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

hakuna kitu kama hicho waka hakitakaa kitokee.Pinda nae si ajiuzulu tu hayo mafao yake siatapata kama anavyopata lowasa! Ama kweli auwae kwa upanga atauliwa kwa upanga.pinda alimwaibisha Magufuli sasa yamemkuta.
Ilitakiwa Utouh na Luhanjo pia waende likizo maana wanaweza kuvuruga uchunguzi wa kamati

Hongera JK kwa kufanya maamuzi mazito, magumu na ya kiume. Sasa wapinzani wako sijui watapata wapi cha kuongea? Umethubutu, Umeweza sasa hebu SONGA MBELE!

binadamu atakuaje punda?kwamba achapwe ndo atembee?

Hongera JK kwa kufanya maamuzi mazito, magumu na ya kiume. Sasa wapinzani wako sijui watapata wapi cha kuongea? Umethubutu, Umeweza sasa hebu SONGA MBELE!

Hongera ya nn..bunge ndo limepelekea JK kuchukua maamuzi haya ya kinafiki, bunge lingekaa kimya JK asingechukua hatua yoyote. Dont tell me madudu aliyofanya Luhanjo ya kumrudisha Jairo kazini JK alikuwa hajui or was not behind the whole move.

Sometimes is better kukaa kimya kuliko kuongea pumba..mbona magamba wenzako wamekaa kimya?

Hajafukuzwa kazi bali amerudishwa eandelee kula kuku...wapuuzi kweli hawa.

Hongera JK kwa kufanya maamuzi mazito, magumu na ya kiume. Sasa wapinzani wako sijui watapata wapi cha kuongea? Umethubutu, Umeweza sasa hebu SONGA MBELE!

Maamuzi magumu na ya kiume alipaswa kuchukua kabla ya hii hatua ya sasa..alipaswa kuchukua kuepusha matumizi ya pesa za umma ambazo kamati teule itatumia..alipaswa kuchukua kabla ya wafanyakazi wa wizara ya Jairo kupoteza nguvu na muda kumshangilia na kusukuma gari lake!!

Hongera JK kwa kufanya maamuzi mazito, magumu na ya kiume. Sasa wapinzani wako sijui watapata wapi cha kuongea? Umethubutu, Umeweza sasa hebu SONGA MBELE!

Kuna kila dalili kuwa JK ame-act kama 'mchonganishi' kwenye hii saga. Hii danadana ya 'chunguza, simamisha, rudisha, simamisha' sio tu inapoteza muda bali pia imejeruhi watu wengine: sasa hivi reputation ya Mh waziri mkuu Pinda imeharibika vibaya. Na kwa nini Luhanjo ameonekana kuwa nguvu 'kimamlaka' kuliko waziri mkuu na hata Bunge?

Aaah Jahiroooo.... kweli hii movie ya kihindi, steling anakufa na kufufuka..!haha haa.. aliemsafisha kumbe hakumtakatisha, tusubiri tuone kama ata takata awamu hii.! nawaone huruma wale waliosukuma gari lake na kufanya sherehe ya mapokezi.. sijui wanajiskiaje sasa.

hatuwezi kuendelea kuvumilia huu upuuzi.natangaza nia sasa jamani tuanze kama Tunisia
Naunga mkono hoja sasa nani atakuwa wa kwanza kwenda Magogoni na kidumu cha petroli kisha ajilipue hata dunia ijue? Ni wangapi wataunga hili?Tanzania bila CCM inawezekana.

Huu ni upumbavu kabisa.hatuna serikali.KWANZA WANACHEZA NA HISIA ZETU.HIVI RAIS HANA UWEZO WA kumfukuza kazi jairo?let say kumstaafisha?kamati nayo hadi hela.TUMECHOK

Huo uamuzi wa Kikwete ameufanya lini?Na mbona hatujatangaziwa kama alivyotangaza Luhanjo?USANII MTUPU!Wakati ule wa kuchunguza kashfa ya Richmond hakuna aliyesimamishwa kupisha uchunguzi,mi nadhani haitoshi tu kumsimamisha Jairo,pia Luhanjo na CAG wahusishwe...

Hongera JK kwa kufanya maamuzi mazito, magumu na ya kiume. Sasa wapinzani wako sijui watapata wapi cha kuongea? Umethubutu, Umeweza sasa hebu SONGA MBELE!
< br /> magamba bana juzi ulitaka kulia na kusifu chadema leo unageuka eti wapnzn wataongea nini,? Kwani chadema tuna ajenda ya jairo? Masaburi yako kuna isue ya katiba na maisha magumu kila kukicha

Naunga mkono hoja sasa nani atakuwa wa kwanza kwenda Magogoni na kidumu cha petroli kisha ajilipue hata dunia ijue? Ni wangapi wataunga hili?Tanzania bila CCM inawezekana.

Inabidi tumtafute hata wakumlipa kutoka Iraq au Afghanistan maana hakuna mbongo jasiri kufanya hilo

Back
Top Bottom