JK amcheza bintiye ngoma

Hongera Mr President kwa kuonyesha mfano na kudumisha utamaduni wako, Wa afriaka wengi hatujiamini na tamaduni zetu ni rahisi sana kubadilishwa. kwahili we usijali tumia kodi yangu, nibora kuliko safari na semina zisizo na mpango
 
Huu ni ufujaji wa hali ya juu.
Hatukatai mtoto wake kuchezwa lakini tunahoji gharama hizo alizo tumia ni za nani?Kama ni za sisi walalahoi basi huu ni ufujaji.
hiyo sherehe ni ya familia mkuu ...povu la nini! Kwa kuwa mkuu ni Rais Mstaafu ndio maana walinzi wa usalama walikuwa wengi,hata wewe ukiomba ulinzi ukifanya jando utapewa mgambo! msiwe mnakasirika kila kitu acha watu wale maisha yao!
 
Huu ni ufujaji wa hali ya juu.
Hatukatai mtoto wake kuchezwa lakini tunahoji gharama hizo alizo tumia ni za nani?Kama ni za sisi walalahoi basi huu ni ufujaji.
babu ametumia hela yako, yule ni mstaafu anatumia mfuko wake.achakupenda kulala mikaa
 
Mila na desturi zetu lazima zinaendelezwa, kudharau mila ni utumwa na ndiyo sababu vijana wetu wengi siku hizi wanaharibikiwa. Big up Mh. JK.
 
hiyo sherehe ni ya familia mkuu ...povu la nini! Kwa kuwa mkuu ni Rais Mstaafu ndio maana walinzi wa usalama walikuwa wengi,hata wewe ukiomba ulinzi ukifanya jando utapewa mgambo! msiwe mnakasirika kila kitu acha watu wale maisha yao!
babu ametumia hela yako, yule ni mstaafu anatumia mfuko wake.achakupenda kulala mikaa

Tukio ni la 2009 akiwa Rais.
 
Hata ukiwa President kudumisha mila ni muhimu. Na mimi namsubiri Jesca kwenye Sagulaga tudumishe mila zetu na sisi.
 
Back
Top Bottom