Kwa mujibu wa shirika la utangazaji la Uingereza (BBC) jina la JK halimo kwnye orodha ya viongozi wa taifa wanaohudhuria kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari - Rwanda. Baadhi ya viongozi waliohudhuria ni Mkapa, Kenyatta, Ally Bongo, Ban ki Moon n.k
Angalizo imetokea nn hata JK akose kutuwakilisha? pia tunajua ni kiongozi mpenda kusafiri kila uchao
Angalizo imetokea nn hata JK akose kutuwakilisha? pia tunajua ni kiongozi mpenda kusafiri kila uchao