Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
rais wa ufaransa nae na blue "vesti" ya blue ya NYPD na sio paris police department(ppd),kweli watu wanapenda sana umarekani
JK kumbe huwa anafanya mazoezi na tusisahau kuwa ni mwanajeshi
Tatizo ni hao wapambe wake na hasa huyo aliyevaa jeans...inawezekana vipi rais anayependa kupiga pamba akazungukwa na watu waliochoka namna hiii?
hivi jk hawezi kutembea kwa haraka nasikia amejazwa ma bullet proof yanamzidia.....
President Obama upon arrival at Logan International Airport in Boston
President Barack Obama jogs to greet supporters after arriving at Chicago
look those 4 black suits men....Yes they have fitness test and yes there are codes on their communication....
anaumwa nini....nahitaki kujua mr president anaumwa nini?....au suala la afya ya jk sio la muungano?Sio mabullet proof bana , afya yake haimruhusu kutembea kwa haraka!
rais wa ufaransa nae na blue "vesti" ya blue ya NYPD na sio paris police department(ppd),kweli watu wanapenda sana umarekani
anaumwa nini....nahitaki kujua mr president anaumwa nini?....au suala la afya ya jk sio la muungano?
anaumwa nini....nahitaki kujua mr president anaumwa nini?....au suala la afya ya jk sio la muungano?
Yule aliyezubaa mpaka Mzee Mwinyi akazabwa kibao alichaguliwaje?
Acheni hizo, mnatathimi vipi mtu kwa mavazi????
Mbona huyo pembeni ya SACORZY amevaa traksuti ya kichoka mbaya, au kwa sababu yeye ni mzungu, ile ya mzungu hata akivaa ndala ataonekana smart??!!
Hapo hakuna zoezi lolote!! Mcheki Sarkozy alivyokata body, as if wrestler!
Hii ilikua ni Hotel ya Ngurdoto mkoani Arusha!
hivi JK na Mzee wilbord slaa!... nani ana shepu la kizembe..??
Ujue shepu zingine zinatengenezwa na ARVs......sasa kama mtu hatumii lazima aonekane ana shepu la kizembe tehe, tehe, tehe!
Ujue shepu zingine zinatengenezwa na ARVs......sasa kama mtu hatumii lazima aonekane ana shepu la kizembe tehe, tehe, tehe!