Well then, lets decide and judge: "We have scaled up on roads,on construction,on education,on health,and many other things" 1."We have scaled up on roads"- Kutoka kwenye barabara chache imara (maana mpaka leo zipo) kwenda kwenye barabara nyingi mpaka mitaani lakini mbovu zimedumu miezi 4! Quite a scalling up. Don't you think? 2."We have scaled up on Construction"- Sure! Kipindi cha Wengine kulikuwa na majengo machache. Sasa tuna maghorofa mpaka yanatishia usalama wa Ikulu na wao wako ok. Tunajua kuuza viwanja! Zamani mab
Kikwete's legacy after he retires will be the fragmentation of what was a homogenous nation by using religion as the yardstick in making senior government appointments!! Vasco Dagama ndio baba wa udini Tanzania; godfather wa wakina Ponda.
Atakumbukwa pia kama mtu aliyegeuza URAIS kama mali ya familia yake na pia patron wa majangili na wauza madawa ya kulevya.
Kutoa Huduma za kijamii(elimu, afya miundombinu) ndio kazi ya Serikali hio haina mjadala sababu tunalipa kodi. Tunataka atueleze kuhusu wakulima, wafugaji, viwanda, ajira na mengine kama hayo kafanya nini?
hapo ni message delivered kwa media zenye malengo ya kuvuruga mambo.watakula ban kuja kufunguliwa 2017.
Kikwete's legacy after he retires will be the fragmentation of what was a homogenous nation by using religion as the yardstick in making senior government appointments!! Vasco Dagama ndio baba wa udini Tanzania; godfather wa wakina Ponda.
Atakumbukwa pia kama mtu aliyegeuza URAIS kama mali ya familia yake na pia patron wa majangili na wauza madawa ya kulevya.
We Tahira unalazimika hata kama hutaki bara×2 huzioni? uhuru wa kujieleza si huu kwa mfano, na kuuita wewe tahira.
Tren ya mwakyembe.
daraja la kigamboni.
mabasi yaendayo kasi.
kasi ya utumaji na upokeaji fedha kwa mitandao ya simu( enzi zile ukitaka kutuma fedha uende posta lakin sasa hata ucku mambo poa).
Intanet kwenye simu. tunasoma magazeti mapema hata ukiwa kijijini
Umeme vijijini
Mabasi yaendayo kasi.
Fastjet mara 4 kwa siku. dar/ mbeya unagusa tu.
Tumemchapa m23 katulia. ngara kigoma tulii.
Mheshimiwa Rais wa JMT akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari mwandamizi kutoka Nation media group aliulizwa swali je anategemewa utawala wake kukumbukwa kwa yapi ,Jk alijibu kama ifuatavyo:
.Ukweli ni kwamba,Baba wa Barabara ni Mkapa.Kikwete amekopa sana na tutalipa sana kufidia Madeni aliyotusababishia.Kama kweli kuna uhuru wa Kujieleza mpaka kutukana bila kuchukuliwa hatua,huo ni Udhaifu na sio Sifa za Uongozi Bora.
We Tahira unalazimika hata kama hutaki bara×2 huzioni? uhuru wa kujieleza si huu kwa mfano, na kuuita wewe tahira.
Pia amesema haya nanukuu, 'kwamba habari za kuchochea majeshi kufanya mapinduzi, habari za kuchochea vijana kuleta vurugu hatazivumilia, na kwamba chombo cha habari kitakachojielekeza kwenye habari za namna hiyo kitafungiwa.
Wakiandika Rais Kikwete nchi imemshinda hainipi tabu, kwa kuwa najua nchi haijanishinda, alisema Rais Kikwete huku akitoa mfano wa namna redio Mille Collines ya Rwanda ilivyochangia mauaji ya halaiki nchini humo.
Kwa vile nilimtia mmko hadharani ndo maana waniita tahira? Ama??!!!
Mimi nitamkumbuka kama rais muwazi zaidi kwa watu wake,mf.
1.Amekuwa wazi kuwa hajui kwa nini nchi yake ni masikini
2.Amekuwa wazi kuwa wanafunzi wanapata mimba kwa sababu ya kiherehere chao
3.Amekuwa wazi kuwa anawajua wauza madawa ya kulevya kwa majina
4.Amekuwa wazi kuwajua majangili na kiongozi wao aishie Arusha.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake ya UWAZI mpeni!!!!
Semeni yote yake kuu ni Yeye kuwa mtalii duniani, kukithiri kwa mikataba mibovu na uchakachuaji uliokithiri, ubomoaji na ujenzi wa serikali bila kusahau kushuka kwa kiwango cha elimu mfululizo na kupandisha idadi ya wasiojua kusoma na kuandika toka 7% mwaka 2002 na kufikia 33% mwaka 2012.Huyu ni baba wa taifa wa miundo mbinu(bara×2) na uhuru wa kujielezea mengine mtaongezea. Hapa si hiari tuna lazimika kumpa hii sifa hata kama hututaki.
Hivi una akili kweli wewe ? Kwa hiyo Kikwete ndo kaleta Fastjet na M pesa ?