My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Wewe uliyepikwa ukaiva tupe Habari kamili, Jiwe yuko wapi?Wewe JAMAA there is something wrong within your brain,, TATIZO wewe unajiona unaakili sanaaa!! Kuzidi wenzio, hats kama ulishawahi kuwa kitengo,, inaonekana hukupikwa ukaiva katika mambo ya itelejensia wewe unachoprove uliiva umbea wa tumbo lako tuu,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah everyone is curiously waiting for the national anthemWimbo wa Taifa utapigwa saa ngapi TEA BEE SEA?
Wewe unatumia lugha za kistaarabu? stroke ndo nani? wewe jina lako ni stroke?Inashangaza sana mtu mzima kama mleta mada kutumia lugha za kihuni, jiwe ndio nani??
Jasusi Chahali....hivi kazi ya ujasusi ina mafunzo ya uganga wa kienyeji na kupiga ramli pia? I see it all over the faces of spies I meet. Wanaamini wanajua kila kitu na wanashikilia mustakabali wake pia, hata kama wamechoka hohe haheMoja ya hasara za "media kuzibwa midomo" ni pamoja na kukwepa kuripoti yale yanayoweza kuziingiza media hizo matatizoni.
Lakini kwa upande mwingine, "media kuzibwa midomo" kunaweza kuhamasisha wananchi wa kawaida kugeuka wanahabari... or even mashushushu... kufidia ombwe la usakaji/upatikanaji/upashaji habari.
Back to the question: where's Jiwe?
Related question: Jiwe's whereabouts zinahusiana na tuloyasikia jana kutoka kwa "wanasiasa vijana"?
Swali la mwisho (na pengine lenye uzito zaidi): HALI HALISI ya usalama wa taifa letu ikoje (INTERNALLY)? Dark clouds hanging over...? Something about to...?
(Ofkoz, I know the answers, just waiting for the wrong ones first[emoji4])
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtabakia hivyo hivyo ma laymen ya CCM until a national anthem is sungmwanausalama FEKI😕😕😕
Which national anthem? Mtaimba mkiwa wapi? Maana hata ulaya pia unaimbikaMtabakia hivyo hivyo ma laymen ya CCM until a national anthem is sung
Sent using Jamii Forums mobile app
"Huyu jamaa," wapuuzi kweli nyieHuyu jamaa usitilie maanani mambo mengi anayoandika. Anakuwa kama mtu anayeota ndoto halafu akiamka anaandika. Halafu amekuwa obsessed na mambo ya intelijensia kiasi ambacho nadhani yanamleta maluweluwe fulani na kujiona kama anayofikiria kichwani ni kweli yanatokea. It seems like we have a paranoia case!
Tuliwapoteza Edward, Julius na Ally! R.I.PUmenikumbusha ya mwaka 1984, mwaka 1999 na mwaka 2001
Uko naye? Huwa unalala naye?Huyu hana lolote na hajui lolote bali anachofanya ni kuleta thread ikionyesha kama anajua jambo fulani ili wachangiaji wamsaidie kulijua.
Rais Magufuli yuko ofisini akiendelea na kazi zake kama kawaida.
Wewe hutaimba au hujawahi kuimba?Which national anthem? Mtaimba mkiwa wapi? Maana hata ulaya pia unaimbika
wimbo wa taifa??Wimbo wa Taifa utapigwa saa ngapi TEA BEE SEA?
Hebu mumtumie zile picha za mkulu akiwa na viongozi wa barick ili azidi kujiona alivyomweupe.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umetisha kula LIKE1999 - Muhasisi wa taifa
2001- Dkt Ally Juma
1984-? Ni nani mkuu
Jf ni kuongezana maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati simba itakapokuwa inacheza kama wawakilishi wa taifaMtabakia hivyo hivyo ma laymen ya CCM until a national anthem is sung
Sent using Jamii Forums mobile app
YUKO NA MABEBERU !! WAMEPELEKWA NA NANI IKULU ??
Sisi tunamfahamu Chahali hapa JF zaidi ya miaka 10 anayopost kuanzia mwaka jana unaona tofauti kubwa sanaCh
Chahali yuko well informed than you think
The Idiot anaimba wapi? Anaimba nini? Zaidi sana kusikiliza